Mke wa Akon adai talaka baada ya miaka 29 ya ndoa

Mke wa Akon adai talaka baada ya miaka 29 ya ndoa

Ukitaka usafi hakikisha na ww pia ni msafi, unaimba uaminifu wakati ww naye ndo wale wale hapo ni kudanganyana lazima mwisho wa siku mgawane mbao.
Nyimbo ni kazi za sanaa mkuu. Kazi za sanaa zinaweza kuwa za kufikirika na kidhahania tu (abstract).
 
Wakati mwingine wanawake hawahitaji kulaumiwa kwenye maamuzi yao huwezi kuwa na mke ndani halafu watoto waliojaa ndani ni kutoka nje ya ndoa
Shida ipo wapi hapo?🤔 Yeye akomae tu asiletewe watoto ndani ya nyumba yake. Wakae na kulelewa na mama zao huko. Au kama atamudu aagize waletwe.

Maisha ni very simple usipochukulia mambo madogo au makubwa too serious.
 
Hapa ke ataitwa gold digger wakati kaolewa jamaa akiwa hana kitu, kasalitiwa sana ila lawama zote atabebeshwa mwanamke daah
Kwann anaondoka sasa. Ameweza kuishi na mwanaume miaka 29 ashindwe kumalizia utu uzima nae?

Hapo ndugu na marafiki wamechochea moto na kumjaza kuwa akomae apate mgao wake mapema akafanye life lake.

Halafu umri huo atakwenda kukutana wapi na mtu wa kumreplace Akon?🤔

Cha zaidi atskutana na wahuni na watumiaji au watu watakao mletea migogoro zaidi ya ndoa.
 
Mkuu acha mawazo mgando mawazo ya kizamani kuchukulia mahusiano kama kumstili mtu. Je kama walishaachana ila wanaweka mambo sawa kisheria.

Kuwaza aendelee hapo je akimuua mchizi wenu hauoni itakuwa hasara. Hatujui wanayopitia tumebaki kubahatisha hivi au vile. Hapa tu
Kwann anaondoka sasa. Ameweza kuishi na mwanaume miaka 29 ashindwe kumalizia utu uzima nae?

Hapo ndugu na marafiki wamechochea moto na kumjaza kuwa akomae apate mgao wake mapema akafanye life lake.

Halafu umri huo atakwenda kukutana wapi na mtu wa kumreplace Akon?🤔

Cha zaidi atskutana na wahuni na watumiaji au watu watakao mletea migogoro zaidi ya ndoa.

namuongelea mwanamke wa miaka 56 na 60 hivi
 
Why should I care?

That is the question I am asking myself.

So far, I am failing to see a reason to care.
Hii inaweza kuwa ni dalili ya kuondokewa na utu moyoni, Mkuu hukuniweka tena kwenye ignore list yako?
 
Back
Top Bottom