Kama ipo ipo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,553
- 2,137
Gold digger la 29 years ktk ndoa 🙃 hii nayo kali.Kumekuchaaa!
Gold digger ktk 1 na 2.
Kataa ndoa wanajichukulia ushindi wa mezani hapa.
😂😂😂😂
Gold digger la 29 years ktk ndoa 🙃 hii nayo kali.Kumekuchaaa!
Gold digger ktk 1 na 2.
Kataa ndoa wanajichukulia ushindi wa mezani hapa.
😂😂😂😂
Kwani huyo KE wakati anaolewa yeye alikua na nini?Hapa ke ataitwa gold digger wakati kaolewa jamaa akiwa hana kitu, kasalitiwa sana ila lawama zote atabebeshwa mwanamke daah
Akon ana wake wengi ambao kazaa nao watoto. Kati ya watoto 9 kutoka kwa wake zake tofauti huyu mke kazaa nae mtoto mmoja. Wakati wanakutana huyu mwanamke alikua tayari ana mtoto yaani single mother.Wakati mwingine wanawake hawahitaji kulaumiwa kwenye maamuzi yao huwezi kuwa na mke ndani halafu watoto waliojaa ndani ni kutoka nje ya ndoa
Kama walifungia ndoa marekani itatumika sheria ya marekani. Lakini mwamba utajiri wake kasajiri kwa jina la bibi yake, so the bag is secured.Akon alisha hama marekani, so sheria ita tumika ya kiafrika😂😂
Miaka yote hiyo alikuwa anangojea nini?Hapa ke ataitwa gold digger wakati kaolewa jamaa akiwa hana kitu, kasalitiwa sana ila lawama zote atabebeshwa mwanamke daah
Miaka yote hiyo alikuwa anangojea nini?
Kwani huyo KE wakati anaolewa yeye alikua na nini?
Tayari ashaona Akon hawezi kupanda tena zaidi ya hapo alipofikia, kwaiyo hakuna cha kusubiri tenaMiaka yote hiyo alikuwa anangojea nini?
Ujangili wa kutaka Mwanaume awe anawajibika na hisia za mtu mpaka anakufa😀😀😀😀😀Kumekuchaaa!
Gold digger ktk 1 na 2.
Kataa ndoa wanajichukulia ushindi wa mezani hapa.
😂😂😂😂
yes hili ndio jibu sasa hivi anatafuta vijana wapya wanatikisa duniaTayari ashaona Akon hawezi kupanda tena zaidi ya hapo alipofikia, kwaiyo hakuna cha kusubiri tena
Mabadiliko kama gani ya kuyasubiria kwa miaka 29?Mabadiliko
Mabadiliko kama gani ya kuyasubiria kwa miaka 29?
Lengo la ndoa sio kuachika ni kuishi mileleUlitaka aachike mwaka gani?
Kwa umri na status ya uyo mwanamke hawezi kupata replacement ya mtu mwenye hadhi kama ya Akon. Huyo dada ameshaona Akon hawezi kupanda tena zaidi ya alipo kwaiyo ni bora achukue tu share yake asepeyes hili ndio jibu sasa hivi anatafuta vijana wapya wanatikisa dunia
mwambie Moureen utaratibu ni uleule, afate DPK bila kuchokaJichanganye Moureen auze Nyumba zote akuache na viwanja butu.
Kwa k gani aliyonayo apate vijana wapyayes hili ndio jibu sasa hivi anatafuta vijana wapya wanatikisa dunia