Mke wa Akon adai talaka baada ya miaka 29 ya ndoa

Mke wa Akon adai talaka baada ya miaka 29 ya ndoa

Ila baadhi ya wanaume humu mko so wicked mtu kakaa ktk ndoa 29 years kaamua kutoka for whatever reason humu mmeshupaa sijui kudai anataka mgao 🙄🙄 hivi hakuna sababu nyingine ya kumtoa mtu kwenye ndoa?? Halafu hakuna tajiri mwenye mwanamke mjingaaa kwa hiyo hao wanaogawa pasu pasu sio kwamba hawatambui michango ya hao ke zao ktk kutengeneza huo utajiri. Katika familia zenu jitahidini muwajenge watoto wenu wa kike wawe matajiri wa baadae maana inaelekea waliopo sasa ni makapukuu kiasi kwamba imani imejengeka ya kuwa kuachika kwa ke mnazingatia zaidi ya kuwa wanataka mali.
 
Narcissist at his best.Kwanza nani alikulazimisha ku comment?
 
Back
Top Bottom