Mke nitakaye muoa....

Mke nitakaye muoa....

unamjua deo au unamsikia hata majini mahaba yamemkimbia
Mimi ni SHABIKI wa thread zake, kila thread ina kitu kipya na inafikirisha. Bado nasisitiza, jisemee mwenyewe, Deo lazima anawake wa kumfaa. Kesha toa vigezo Kilimanjaro na Dar. So tulia naamini bro Deo ataleta mrejesho
 
labda uoe sayari ingine .duniani humu hakuna mtu anakutaka wewe .una visa ,una gubu ,hujipendi .wewe ni mzigo wale wanawake watano uliowazalisha mbona hukupata wa kuishi nae? msituone sisi wajinga
hahahahaha Miss Natafuta umenichekesha sana hadi nimepaliwa na komoni hahahah
 
labda uoe sayari ingine .duniani humu hakuna mtu anakutaka wewe .una visa ,una gubu ,hujipendi .wewe ni mzigo wale wanawake watano uliowazalisha mbona hukupata wa kuishi nae? msituone sisi wajinga
Khee, alishakutongoza??[emoji87]
 
MKE NITAKAYE MUOA:

1. Sitaki mke wa kupewa.
2. Sitaki kurudishiwa mke au demu wangu wa zamani.
3. Sitaki kulazimishwa kuoa type ya mke nisiyemtaka.
4. Mke wangu term hii atatoka MKOA wa DSM au MKOA wa Kilimanjaro.
5. Sitishwi na kutishiwa kuwekewa jeshi eti ni kikataa kumuoa mwanamke Fulani.
5. Mapenzi haya lazimishwi na ukilazimisha unaweza sababisha vifo.

Deogratius Kisandu
Hayo uliyasahau ukienda tena katka siasa vituko vitajirudia
 
MKE NITAKAYE MUOA:

1. Sitaki mke wa kupewa.
2. Sitaki kurudishiwa mke au demu wangu wa zamani.
3. Sitaki kulazimishwa kuoa type ya mke nisiyemtaka.
4. Mke wangu term hii atatoka MKOA wa DSM au MKOA wa Kilimanjaro.
5. Sitishwi na kutishiwa kuwekewa jeshi eti ni kikataa kumuoa mwanamke Fulani.
5. Mapenzi haya lazimishwi na ukilazimisha unaweza sababisha vifo.

Deogratius Kisandu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu yapi yamekukuta
Maana co kwa povu hili
 
Hongera kwa kujitambua Mkuu. Mabinti wa Dar na Kilimanjaro kaeni mkao wa kula kuna muoaji anataka kujiongeza katika mkoa mmoja kati ya hii miwili au "akaoa" ndani ya mikoa yote.
mletee miss chagga mkuu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hongera kwa kujitambua Mkuu. Mabinti wa Dar na Kilimanjaro kaeni mkao wa kula kuna muoaji anataka kujiongeza katika mkoa mmoja kati ya hii miwili au "akaoa" ndani ya mikoa yote.

ndio hivyo mkuu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom