Na ungepata mume ambaye
'ana heshima sana chumbani kwa mkewe' unngefanyaje labda?
hivi wajua kwanii kasema umalaya uloruhusiwa? kimsingi wakati mwali anafundwa huambiwa yale ya chumban katika nadharia ya heshima sana tena huambaiwa mengi saaana jauu ya kumfurahisha mume( old days). sasa siku hizi wachache wamebadilisha yaani utakuta yale ambayo malaya hujifunza ii wafurahie kazi yao na walioko ndoani nao hujifunza hayo hayo. sasa hivi ndani ya nyumba za watu wenye ndoa utakutana na stailaa nayingine hadi zenye kunajis nyumba ili tu wapeane raha. hakunaga kujivunga ukitaka kupata ile raha
Kuna msemo wa kiswahili
'ukimheshimu sana mkeo ,huzai nae' lol
sijui unatumikaje humu lol
ulivyosema hiyo 'umalaya ulioruhusiwa' natamani wadada wachangie hiyo point...
hivi wajua kwanii kasema umalaya uloruhusiwa? kimsingi wakati mwali anafundwa huambiwa yale ya chumban katika nadharia ya heshima sana tena huambaiwa mengi saaana jauu ya kumfurahisha mume( old days). sasa siku hizi wachache wamebadilisha yaani utakuta yale ambayo malaya hujifunza ii wafurahie kazi yao na walioko ndoani nao hujifunza hayo hayo. sasa hivi ndani ya nyumba za watu wenye ndoa utakutana na stailaa nayingine hadi zenye kunajis nyumba ili tu wapeane raha. hakunaga kujivunga ukitaka kupata ile raha
Nadhani dadaangu gfsonwin kajibu vizuri hapa chini..
Ndio nilichomaanisha..cuz ukienda cassinos, nite clubs au kwenye love houses unayoyaona ndio ambayo yanafanyika kwenye baadhi ya ndoa..kama kule tunauita ukahaba kwa sababu it's for money sake..nadhani itoshe kuuita 'ukahaba ulioruhusiwa' pale unapofanyika ndoani kwa ridhaa ya wanandoa wenyewe...Alimradi wanapata kile kiburudisho in a reciprocal way....sio mmoja kwa ajili ya mwengine!
michango yenu ni more interesting...nimeona jinsi mngekuwepo from the start lol
Unajua nini The Boss kiukweli ni kwa sababu hatuoni yanayofanyika vyumbani kwa watu..but believe me kuna wanandoa wengi tu wanapratice 'nasty sex' kuliko pengine tunavyofikiri..na hii nadhani ni generation oriented..Kumbuka hata hzi style tunazoziita sasaivi ni old-fashioned nazo kuna kipindi zilionekana nasty tu..so, inapokuja issue ya lap dance, stripping et al unaweza kusema ni uhuni kufanya na mwenzio but if you think loud hakuna ambalo halikuanza kwa kuonekana baya..yote yanayofanyika mengi yamepitia stage hzi hzi..
ni kweli manake hutauwa huru kumfaidi atii.
ukitaka kuamin hebu siku mdate mtu ambaye unamwonea aibu uone inavyokuwa. huwez kumvua nguo atii
Ndo maana hata wanandoa hushauriwa kukaa mbali na watu wanaowaheshimu
mfano wazazi au wakwe kukaa nao nyumba moja
kipindi mnatafuta watoto lol
najua unajua kuwa hamna mwanaume anapenda mwanamke dull,na hicho ndicho hao wanawake mnaoita malaya/kahaba wanapotuzidi point wake wa ndoa.like mtu anajiona kwa kuolewa basi yeye ni yeye,au kwa sisi kidogo kashule kamo kamo tunajifanya ah mi sifanyo mambo ya kiswahili hayo,!hapo ndo ngoma inapongizwa beat za taarab,lazima uchemshe!ulivyosema hiyo 'umalaya ulioruhusiwa' natamani wadada wachangie hiyo point...
ngoja nikuchekeshe kidogo, nilipokuwa na ndoa changa tuliwah kwenda kwetu(kikeni) kusalimia, sasa bwana kwakua tulitoa taarifa tuliandaliwa vizuri sana. binafsi kwa ile heshima nikaona hivi baba yangu atanionaje naenda kulala chumban na mume wangu yaani ajue natiwa hapana silali na mume wangu nikajitupa chumban kwa wadogo zangu.
usiku mnene nikatoroka nikaenda kumkumbatia mr hadi nikaridhika kisha nikarudi kwa wadogo zangu kulala. sasa sijui walinotisi hatukukaa muda mrefu ilikuwa siku 2 kisha tukarudi kwetu.
mara ya pili kwenda baba yangu akasema sitaki shida lala chumba hiki na mumeo alikuwa kakitengeneza kina privacy sana tu so akaniambia sitaki dhambi mimi nilicheka sana but nilikuwa huru sana tu kupigwa mpera na mr nyumban kwetu.

umeona enh! ................yaani ukipigwa mpera home baba anaona kabisa kakutendea haki yaani kakuozesha kwa mwanaume wa shoka tena anakataza usiagongewe mlango wakuache uamke mwenyewe. mpera wa stail hii unanogaje sasa?nilikumisje shosti,nilikumisijeeee!ah karibu bwana halua haina makombo twende kazi!nimeipenda hii ya kupigwa mpera home kwenu!
ww hupendi ma unaona aibu kumdo mkeo ukweni?Na wewe ina ku turn on sio?
tena unauskilizia utamuUkweni 'akizidiwa' na kutoa milio ukasikika?
ndo poaa?
ww hupendi ma unaona aibu kumdo mkeo ukweni?