Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,091
- 34,899
hasa ukimkuta na Housegirl...unamsamehe maisha yanaendelea[/QUOT]
​thubutuuuuu!!!!??
kila kitu mwanamke
na mwanaume mzuri je?
au hakunaga wazuri na wema?
hasa ukimkuta na Housegirl...unamsamehe maisha yanaendelea[/QUOT]
​thubutuuuuu!!!!??
sasa Mpwa wangu unataka nithubutu nini? si ndio mapenzi yenyewe hay jamani? Kizuri kula na mwenzio......na halafu unamsamehe
heheheeee!! Elli
hii kitu haifai kushare bana!!