Wewe ni muongo
Ongea na wazazi wako hususan wa kike, wanawake twajuana.
Usitafute wa kumuoa tafuta ambae mtaoana.
Vigezo:
Kwa mali zao,
Kwa uzuri wao,
Kwa nasaba zao.
Kwa ucha Mungu wao.
Habari ndugu zangu mimi nataka kuoa lakini kila nikichumbia mwanamke ananiuliza unafanya kazi gani nikimwambia sina kazi ,biashara inaishia hapo.
Akiuliza unafanya kazi gani we mwambie wew ni mtoto wa kigogo upo B.O.T pale! unavizia unapiga mimba mengine mbele kwa mbele!
mwelelo
Ongea na wazazi wako hususan wa kike, wanawake twajuana.
Usitafute wa kumuoa tafuta ambae mtaoana.
Vigezo:
Kwa mali zao,
Kwa uzuri wao,
Kwa nasaba zao.
Kwa ucha Mungu wao.
We mbibi mara nyingi ninakuonaga kama hamnazo kichwani... Ila walau hapo juu umeongea kama mwanamke mwenye maadili mema
hahahahaha unapiga mimba eti hahahahaha watu mnawaza mbali sanaAkiuliza unafanya kazi gani we mwambie wew ni mtoto wa kigogo upo B.O.T pale! unavizia unapiga mimba mengine mbele kwa mbele!
uKama huna hela wanawake wote ni masheji zako. Mapenzi ni pesa