Mke mwema nitampata wapi?

Mke mwema nitampata wapi?

Habari ndugu zangu,

Mimi nataka kuoa lakini kila nikichumbia mwanamke ananiuliza unafanya kazi gani nikimwambia sina kazi,biashara inaishia hapo.wakuu naomba ushauri nifanyaje kuhusiana na jambo hili.

acha uj*nga mkuu tafuta kazi kwanza,hata biashara tu. Sasa uoe huna kazi familia itaishije
 
mwelelo

Ongea na wazazi wako hususan wa kike, wanawake twajuana.

Usitafute wa kumuoa tafuta ambae mtaoana.

Vigezo:
Kwa mali zao,
Kwa uzuri wao,
Kwa nasaba zao.
Kwa ucha Mungu wao.

huyu kijana anafaa kuwa mkweo??!!
 
Habari ndugu zangu,

Mimi nataka kuoa lakini kila nikichumbia mwanamke ananiuliza unafanya kazi gani nikimwambia sina kazi,biashara inaishia hapo.

Wakuu naomba ushauri nifanyaje kuhusiana na jambo hili.





wewe tatizo genye zinakusumbua, na unaona solution ni kuoa!! sasa kwa hali uliyonayo ukioa genye zitaisha ila si kwa kula tunda la kati bali kwa stress utakazopata!!
 
Mbona unalialia kwan we una shilingi ngapi?
Ndooorobo wewe yani huna kazi unawaza kuoa!!!
Wenzako tumeyakimbia mapenz kuwekeza kwanza rasilimal wewe unawaza kuoa hata kazi huna mkuu?
NB- MWANAUME BILA PESA NI SAWA NA KUVUNJIKA M*OO tafakari chukua hatua mkuu.
 
Back
Top Bottom