Mke mwema ni yupi?

Mke mwema ni yupi?

Wachaga karibu kila siku kwenye mada.
'
Hapa huenda kuna mambo mawili
'
Mosi,Wachaga tunaogopwa sana hapa.
'
Pili,There is something wrong with us,chaga!
 
Wachaga, Wahaya, Wasukuma, Wakurya ni makabila yaliyojijengea umaarufu zamani(baada ya uhuru) kuliko makabila mengine, ndio maana yapo midomoni mwa watu sana.
 
We acha tu promiseme na KakaJambazi , mchagga anajua kupenda sana na kumtunza mumewe, ACHANA na zile propaganda zilizojengeka kwamba wachaga sio kabila la kuoa. Huo uikuwa ni wivu tu kwa kuwa wanaona kila familia yenye mama mchaga imesonga mbele kimaendeleo.

vipi kuhusu wamachame maana ninamchaga mmoja rafiki yangu siku moja wakati tunataniana alisema mimi ni mchaga mmachame lakini siwezi oa mwanamke mmachame
 
Loading............
 
You know, i really don't like to hear kwamba wapare tumabahili... hata ukimpata mwanamke akijua wewe ni mpare, it's a minus coz they have this attitude that we are stingy, damn it!

wabahili na wabinafsi pia,nimeona kwa macho yangu!samahani lkn imebidi niseme tu!
 
wachagga again
dah hivi siku ikiisha bila kuwataja wachagga inakuwa haipiti vyema eeehh Mkirua hebu njoo huku

Wataachaje kutajwa wakati wana run vichwa vya watu...!

Proudly to be chagga!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mke mwema , ni nani awezaye kumwona?

Maana kima chake chapita kima cha marijani. Methali 31: 10.
saudari... Kama wewe ni mkristo soma na mistari inayofuata for more detaili. (Kama sio naomba uniwie radhi)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Nadhani umelifanya too general. Inawezekana ila ni nadharia tu. Siku hizi kila mtu anaubahili fulani.
Anyways., inaniuma kusikia hivyo
 
Nitafanya mpango nimuone, kisha nitakupa jibu.
jibu lako haliwezi saidia kwani nilimchagua mwenyewe kwa vigezo vyangu mwenyewe na kila mmoja wetu ana vigezo vyake mwenyewe waweza ona kengeza ukasema ana makeza lakini mimi ndio nimependa hayo makengeza kwani tabia na uzuri wa mke wangu ndio nilioompendea na anitendeayo ndiyo yanifanyayo nimuone hakika yeye ni mwema kwangu hivyo wewe huwezi ona wema wake na uzuri wake kuliko mimi niliyemchagua. hakika nampenda sana na yeye ni bora sana moyoni mwangu. hivyo huna haja na wala silihitaji jibu lako kwani huwezi kuniwekea vigezo vya nimpandaye daima wa kufa na kuzikana
 
Aya mwaya usilieeeee!!!!!!!!
Ila ungefanya hivyo ili nimwone huenda ningeridhisha macho.
 
We acha tu promiseme na KakaJambazi , mchagga anajua kupenda sana na kumtunza mumewe, ACHANA na zile propaganda zilizojengeka kwamba wachaga sio kabila la kuoa. Huo uikuwa ni wivu tu kwa kuwa wanaona kila familia yenye mama mchaga imesonga mbele kimaendeleo.

Si kweli, bado nakubali ile hoja ya kuwa wachagga si kabila la kuoa. Kuna mengine siyasemi humu ila nimekataza ndugu yangu aachane na demu wake kwani nisingependa familia zetu ziungane. Kwa kifupi, wachagga (wanawake) hawana mapenzi ya kweli.
 
We acha tu wachaga wakoo vizuri katika familia, yaani ukijitaidi ukampata mchaga utashangaa ukiona unavyochapa mwendo kimaendeleo na zile missing understand zizozo na sababu mtaziachilia mbali.
 
Mkuu saudari, bado nasema NO kwa kuoa mchagga. Bado hujanishawishi kwani nilishakata shauri la kutooa kwao na sirudi nyuma ng'o!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom