Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,380
wanapenda wanawake wa kichaga sababu wanajua kutafuta pesa.....ila 6x6 = 0....wapare wazuri kwa kubana matumizi....nimesikia tu.
hizo ni fikra za kizamani sana sana, ungekuta tumeshaachika kitambo tunadunda nao tu, kwenye pesa tumo, mapenzi usiseme,cheki na kapicha cha mada kwanza, hahaha.