Black poison The Factor
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 1,241
- 1,778
Kabisa mkuu wanaum wenyew hatukawii kukata tamaaKama nikikuelewa nakubali siku hiyo hiyo. Kuzungushana for what
NAKAZIAWapo KE waliong'ang'ania Kwny magheto ili waolewe Kwalazima na bado wakawa wife material wazuri sana
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa sasa hakuna formula mambo ni kama kubet tuWnaume wamekuwa wakihangaika sana na wanaumiza vichwa sana kutafuta mwanamke mwenye sifa njema na tabia njema.
Sexless kungwi mzoefu na mboezi nimejiridhisha kupitia uzoefu wa kazi yangu kuwa:-
1. Mwanamke ambaye ni mrahisi kukubali kuanzisha mahusiano huwa siyo wife material.
2. Mwanamke anayesumbua na kuchukua muda mrefu kukubali kuanzisha mahusiano, huyu ndiye wife material.
Kama huko kwenye kuzungushana kuna kuwa hamna mizinga basi sawa.Wnaume wamekuwa wakihangaika sana na wanaumiza vichwa sana kutafuta mwanamke mwenye sifa njema na tabia njema.
Sexless kungwi mzoefu na mboezi nimejiridhisha kupitia uzoefu wa kazi yangu kuwa:-
1. Mwanamke ambaye ni mrahisi kukubali kuanzisha mahusiano huwa siyo wife material.
2. Mwanamke anayesumbua na kuchukua muda mrefu kukubali kuanzisha mahusiano, huyu ndiye wife material.
Mke wangu alinizungusha miezi nane.Wnaume wamekuwa wakihangaika sana na wanaumiza vichwa sana kutafuta mwanamke mwenye sifa njema na tabia njema.
Sexless kungwi mzoefu na mboezi nimejiridhisha kupitia uzoefu wa kazi yangu kuwa:
1. Mwanamke ambaye ni mrahisi kukubali kuanzisha mahusiano huwa siyo wife material.
2. Mwanamke anayesumbua na kuchukua muda mrefu kukubali kuanzisha mahusiano, huyu ndiye wife material.
Hayana kanuni!Wnaume wamekuwa wakihangaika sana na wanaumiza vichwa sana kutafuta mwanamke mwenye sifa njema na tabia njema.