Hakuna uhusiano kati mke mwema na Bikra. Mke mwema ni yule mwenye upendo, uvumilivu, mtulivu, msafi, mnyenyekevu, sio mzinzi, mtu atayekuwa na wewe bega kwa bega kwenye shida na raha, anayependa ndugu zako,anayekulea wewe na watoto, anayewezesha kukuwakilisha na kusimamia mambo yako ukiwa haupo. Mambo ya bikra, makalio, midomo ni fantansies tu ambazo hazima maana kwenye real family life.