Mke/Mume ni Bora kuliko Mama kuliko chochote!

Mke/Mume ni Bora kuliko Mama kuliko chochote!

Minashangaa kama nikweli hayo ulio andika kwanini ukiugua nakulwazwa hospital huruhusiwi kulala na mkeo isipokua ndugu yako?
 
Minashangaa kama nikweli hayo ulio andika kwanini ukiugua nakulwazwa hospital huruhusiwi kulala na mkeo isipokua ndugu yako?
Hospital mkuu ni swala gender...utalalaje wodi ya wanaume na mkeo?
 
Wakuu hili ni jambo la msingi na lenye baraka.
Kumthamini mkeo/mumeo kuliko mtu mwingine yeyote!

Watu wengi huwa wanadharau hili na kuwapa wake/waume zako second priority na ile ya kwanza ikawa kwa mama au watoto.
.
Kweli hapo utakuwa umechemsha...
Wazazi au Watoto wananafasi kubwa sana kwenye maisha yetu.
Ila mke/mume nafasi yake ni kubwa zaidi.
Sio ndugu yako huyo, ni sehemu ya mwili wako kabisa.

Swali, wewe kwako ninani unampa nafasi ya juu zaidi?
1. Mke/Mume
2. Wazazi
3. Watoto...
Karibuni tujadili kidogo hili.
Hata siku moja mama yako hawezi kuwa na uadui na wewe, lakini mke wako aweza kukudhuru kuliko jambazi. Ukweli haupingwi kwa mahaba uçhwara, mama ni bora kuliko mke. Kuna waume/wake wamekimbiwa na wake/waume zao baada ya kuugua maradhi sugu, kufungwa jela, kufilisika lakini mama zao walibaki kuwa wafariji wao wakuu.
 
Madame unaishi na mkeo ndani kitanda kimoja, she is the very next person to u
 
Usifananishe wazazi na mambo yakujitakia.Kwanza unazungumzia ndoa gani maana hakuna ndoa iliyoumbwa ndo maana wenzako wana wake zaidi ya 40.wewe kaa nawako 1 alafu ndo umlinganishe nawazazi wako.ATA UFUNGE NDOA YA NAMNA GANI UCHUNGU WA MWANA AUJUAYE MZAZI WALA SIO MKE.
 
Acha zako wewe,yani nimthamini mtu niliekutana nae ukubwani na kumuacha alienilea?
Na wengi wanaofanya hivyo huwa mwisho wao sio mzuri...Yaan Mama yako apigane kwa ajili yko,ajinyime kila kitu,umekuwa jitu zima,Eti sasa hivi unakuja kumdhamini mtu aliyekukuta ukubwani tuu kuliko mama yako....Thats very high level of stupidity...
 
Umeandika vyema, nje ya maisha ya ndoa.
Ukiwa kwenye ndoa, my wife wako must be the 1st person
Toka mwanzo ungesema ni kwenye marriage matters only,Sio kila kitu unatakiwa u stand for your wife,..Huwez kumpa nafasi ya kwanza mkeo kila kitu,Mimi naangalia who is make sense kwe issue flano kati yao wawili..Bas ntaegemea huko huko....
Ndio maana kuna mkuu hapo juu kasema hii issue inategemea na condition...Huwez ku generalise tu eti kwamba unaegemea kwa fulani,Unles ur stupid man.
 
Na wengi wanaofanya hivyo huwa mwisho wao sio mzuri...Yaan Mama yako apigane kwa ajili yko,ajinyime kila kitu,umekuwa jitu zima,Eti sasa hivi unakuja kumdhamini mtu aliyekukuta ukubwani tuu kuliko mama yako....Thats very high level of stupidity...
Kama hushirikiani na mkeo unajenga familia ya aina gani?
 
Kama hushirikiani na mkeo unajenga familia ya aina gani?
Sijasema sishirikiani nae.Nasema kwamba sitoweza kuegemea upande wake kwa kila kitu hata kama amefanya ujinga...Vile vile sitoweza kuegemea kwa mama kama amefnaya kitu kisichopendeza na chenye nia ya kuharibu my family...
Lakini pia kusema nimpe priority mke wangu kuliko wazazi..Thats not possible..Nitaangalia situation.
 
Nikupongeze mleta uzi, ila kuchangia uzi huu inahtaj uwe g.thinker ila, na xperience yakutosha kwny ndoa, to make short; kwny tamaduni zetu za mazishi uliwah ona wap km kafa mke na mme kabaki na yupo kwny mazish mzazi eidha baba/mama ndo akaitwa wa kwanza kuweka shada la maua?, badala yke mme/mke ndo huw wakwanza kuweka, jiulize why so!
 
Back
Top Bottom