Mke/Mume ni Bora kuliko Mama kuliko chochote!

Mke/Mume ni Bora kuliko Mama kuliko chochote!

Wakuu hili ni jambo la msingi na lenye baraka.
Kumthamini mkeo/mumeo kuliko mtu mwingine yeyote!

Watu wengi huwa wanadharau hili na kuwapa wake/waume zako second priority na ile ya kwanza ikawa kwa mama au watoto.
.
Kweli hapo utakuwa umechemsha...
Wazazi au Watoto wananafasi kubwa sana kwenye maisha yetu.
Ila mke/mume nafasi yake ni kubwa zaidi.
Sio ndugu yako huyo, ni sehemu ya mwili wako kabisa.

Swali, wewe kwako ninani unampa nafasi ya juu zaidi?
1. Mke/Mume
2. Wazazi
3. Watoto...
Karibuni tujadili kidogo hili.
Ongezea pesa iwe namba nne, wengine hawana mpango kabisa na family matters.
 
Wazaz wang ndo kila kitu

Hao wengne watafuata
 
Mnaongea tu wazazi mara ya mwisho kumpigia sim mama unakuta ni last year kimada umejiunga na halichachi unamcheki kila mara utasikia umekula?, nimekumiss? nk
 
Wazazi na mke/mume ni tofauti sana kuvilingajisha. Sio vizuri kusema eti mama na baba walikuwa mke na mume. ..huko ni kukosa akili ya kufanya uchambuzi. Wazazi ni nafasi ya 2 kutoka kwa Mungu. Waheshimu baba na mama siku zako zipate kuwa nyingi hapa duniani. Mke Mungu mwenyewe amesema tuishi nao kwa akili. Mpaka hapo huoni tofauti ni kubwa sana?
 
Wazaz wang ndo kila kitu

Hao wengne watafuata
Mbona ulikuwa unawatoroka hao wazazi wako unaenda kwa chalii.

Ukipata jipu la maeneo nyeti mzazi wako yupi atakuja akukamue?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wazazi na mke/mume ni tofauti sana kuvilingajisha. Sio vizuri kusema eti mama na baba walikuwa mke na mume. ..huko ni kukosa akili ya kufanya uchambuzi. Wazazi ni nafasi ya 2 kutoka kwa Mungu. Waheshimu baba na mama siku zako zipate kuwa nyingi hapa duniani. Mke Mungu mwenyewe amesema tuishi nao kwa akili. Mpaka hapo huoni tofauti ni kubwa sana?
Kuheshimu na kupenda/kuthamini ni sawa?
Heshima unatakiwa uionyeshe kwa kila mtu.
 
Back
Top Bottom