Mke/Mume ni Bora kuliko Mama kuliko chochote!

Nahisi wewe umechanganyikiwa. Hakuna kama wazazi dunia hii. Anaanza kwanza Mungu wanafuata wazazi. Na kisha kwenye wazazi anaanza kwanza mama ndiyo baba.

Katika akili ya kawaida tu wanandoa wanaachana kwa talaka iwe ndoa ya kimila, za kidini au hata za kiserikali. Je wazazi unawaachaje!!!?
 
sawa jipe mda kufikiri. utapata logic yangu.i
 
Kila mtu ana nafasi yake na wajibu wake katika familia, hakuna wa kwanza au wa mwisho. Wazee au wazazi wanapewa umuhimu sababu ya maadili na heshima tulionayo kwao kufuatana na umri wao. Ikiwa kwa mfano wazazi watavuka mipaka yao basi pia wataelezwa kama vile mume au mke au watoto pia wataelezwa
 
Nahisi wewe umechanganyikiwa. Hakuna kama wazazi dunia hii. Anaanza kwanza Mungu wanafuata wazazi. Na kisha kwenye wazazi anaanza kwanza mama ndiyo baba.

Katika akili ya kawaida tu wanandoa wanaachana kwa talaka iwe ndoa ya kimila, za kidini au hata za kiserikali. Je wazazi unawaachaje!!!?
Fikiria roma alivyopotea nani alikua anahangaika kumtafuta, na alivyopatikana nani aliyempokea na kumkumbatia?
 
Hata siku moja mama yako hawezi kuwa na uadui na wewe, lakini mke wako aweza kukudhuru kuliko jambazi. Ukweli haupingwi kwa mahaba uçhwara, mama ni bora kuliko mke. Kuna waume/wake wamekimbiwa na wake/waume zao baada ya kuugua maradhi sugu, kufungwa jela, kufilisika lakini mama zao walibaki kuwa wafariji wao wakuu.
Sio kweli Kuna wazazi wana uadui na watoto wao, kama hujawahi kuona basi kuwa uyaone
 
Hata Siku moja huwezi linganisha mzazi wako hasa mama na mke, hiyo ni dhambi na dharau kubwa kwa wazazi, kumbuka hata MUNGU ametuusia tuwaheshimu wazazi wetu (baba na mama) kwani wao hapa duniani wamepewa daraja LA Uungu. Utamlinganisha vipi mtu aliyepewa daraja kubwa namna hiyo na mke au mume, this is stupidity.
 
Wazungu waliileta biblia ili waufanikishe udharimu wao kwa bara la afrika,,@ ndo maana biblia hiyo hiyo inajicontradict kwenye baadhi ya vifungu,,mfano ;;mtakuwa mwili mmoja,,mara ooooohh mume na muke watatengana endapo tu mmoja wapo atakuwa mzinzi,,lakin kipengele cha mzazi na mtoto kutengana kwa dhambi yoyote sijawahi kisikia,,,hii kumbe hata biblia inajua muke# mume sio ndg ni rafiki tuu,,kila ni rafiki wa karibu kuliko mwingine
Soma vizur bibliA takatifu
 
Wakuu hili ni jambo la msingi na lenye baraka.
Kumthamini mkeo/mumeo kuliko mtu mwingine yeyote!

Watu wengi huwa wanadharau hili na kuwapa wake/waume zako second priority na ile ya kwanza ikawa kwa mama au watoto.
.
Kweli hapo utakuwa umechemsha...
Wazazi au Watoto wananafasi kubwa sana kwenye maisha yetu.
Ila mke/mume nafasi yake ni kubwa zaidi.
Sio ndugu yako huyo, ni sehemu ya mwili wako kabisa.

Swali, wewe kwako ninani unampa nafasi ya juu zaidi?
1. Mke/Mume
2. Wazazi
3. Watoto...
Karibuni tujadili kidogo hili.
NENDA KAMPENDE MKE WAKO

Kijana mmoja alikua akimpenda sana Mama yake, kwakua Mama yake almlea kwa shida sana tena kwa upendo wa hali ya juu kijana yule alilipa fadhila kwa kuhakikisha kua Mama yake hakosi kitu chochote.

Baada ya kuoa yeye alihama nyumbani kwao na kwenda kuishi mbali kidogo na Mama yake, lakini katika mji uleule. Pamoja na umbali huo lakini kila siku alienda kumsalimia Mama yake na wadodgo zake.

Alikua akiwapelekea zawadi na fedha za matumizi. Mara nyingi akitoka kazini alikua akitumia muda mwingi nyumbani kwao na wakati mwingine hata chakula cha usiku alikula kule na kurudi nyumbani akiwa maeshiba.

Hali hiyo iliendelea kwa muda na hata walipobarikiwa kupata mtoto bado aliendelea kuwapenda ndugu zake na kutumia muda mwingi wa ziada akiwa nyumbani kwao kuliko nyumbani kwake.

Ingawa hakua akimdharau mkewe wala kumnyanyasa lakini alimpenda Mama yake zaidi. Siku moja jioni akiwa ametoka kazini, alifika nyumbani kwa Mama yake.

Aligonga mlango na kwa bahati nzuri Mama yake alifungua mlango. Lakini wakati akitaka kuingia akiwa na kapu la zawadi mkononi Mama yake alimzuia na kumuambia kuwa hakuna kuingia.

Kijana alishangaa akidhani kua ni utani lakini Mama alikataa katakata na kumuambia. “Mwanangu najua unanipenda sana lakini sasa ni zamu ya mkeo. Wewe ushakua mkubwa umeoa unafamilia yako, nenda kampende mkeo”.

Kijana alishangaa kwani yote aliyokua akiyafanya ni kwakua Mama yake aliteseka kwaajili yake. “Najua unayafanya yote kwa upendo ila mkeo anahitaji upendo pia. Mimi ni Mama yako, ni mtu mzima, lakini yule mkeo, bado ni binti lakini mna mtoto mdogo.

Kama unavyonipenda mimi mama yako nenda kampende Mama wa watoto wako ili aweze kuwalea watoto wenu waje kuwa na upendo kama wewe. Upendo unaonionyesha nikwakua Baba yako alinionyesha upendo wa hali ya juu.

Baba yako alinipenda sana, akanionyesha upendo, moyo wangu ukawa na amani nikawa na kazi ya kuwalea nyinyo kwa furaha. Sasa na nyinyi mna furaha unanihudumia.

Lakini wewe muda mwingi unautumia hapa, mkeo unamuacha peke yake mpweke. Mwanamke akiwa mpweke anakua na kisirani, akishakua na kisirani anakua na hasira na akiwa na hasira basi hutafuta sehemu ya kuzipeleka na anaweza kuzipeleka kwa watoto.

Akizipeleka kwa watoto watalelewa vibaya na hawatakuja kuwa watoto wazuri kama wewe. Nakupenda lakaini sikutaki tena kwangu, nenda kampende mkeo, tengeneza familia yako, hii ni ya kwangu na nishaitengeneza.

Mwanangu unanipenda sana lakini ipo siku nitakufa kama Baba yako, usihuzunike lakini ipo siku hawa wadogo zako wakiume wataoa, hawatakua na muda tena na wewe. Hawa dada zako wataolewa na kuwa na familia zao.

Watakua bize na familia zao kiasi kwamba hamtaonana, hiyo haimaanishi kuwa hawatakua wanakupenda, hapana watakupenda lakini maisha ndiyo yalivyo. Kama ambavyo mimi nilikua na Kaka zangu na Dada zangu.

Kama ambavyo Baba yako alikua na Kaka zake na Dada zake waliokua wakipendana lakini sasa kila mmoja ana familia yake. Wewe utabaki na mkeo na wanao, hao ndiyo watakua familia yako kama ambavyo Baba yako alibaki na mimi na nyinyi.

Sasa kama hukumuonyesha upendo mkeo sasa hivi unafikiri utaishi naye vipi ndugu wakikutelekeza kwasababu ya majukumu yao. Nenda kampende mkeo, mpeleke zawadi.

Kwangu utakuja mara moja moja nikikuhitaji, utakuja ukisikia naumwa na utanitumia matumizi mwisho wa mwezi. Katengeneze familia yako, nenda kanitengenezee wajukuu wazuri, wenye upendo kama ulivyo wewe Baba yao.

Mama alimaliza na kabla kijana hajasema chochote alifunga mlango na kuingia ndani. Kijana alilazimika kurudi nyumbani, alimkuta mkewe kanyongonyea.

Alimkabidhi lile kapu la zawadi na kumuambia zawadi zako hizi. Mke aliruka kwa tabasamu akimshukuru mumewe kwa zawadi ile, kwani muda ulikua umepita bile kupeleka zawadi nyumbani wala kuwahi vile.

****MWANAUME; Wapende ndugu zako lakini jua mwisho wasiku mtu pekee ambaye mtazeeka pamoja ni Mke wako. Kama huamini hembu muangalie Baba yako kule kijijini vipi bado anaishi na shangazi yako?

Lakini hembu muambie Bibi na Babu yako, si wako wawili tu, tena mmewatafutia na mfanyakazi ili awasaidie. Ndiyo huyo mwanamke unayemnyanyasa leo anathamani kuliko huyo Dada yako anayemtukana mkeo kila siku na wewe unachekelea.
 
Ujumbe umewaingia watu hakuna hata comments
 
Inategemea na situation gani, hakuna jibu la moja kwa moja.

Kuna baadhi ya mambo itabidi mama awe nafasi ya juu na kuna mambo pia mke anapaswa kuwa wa kwanza
Vizuri
 
1. Mungu 2. wazazi wangu 3.watoto wangu 4. biashara zangu 5. mke wangu ( huyu kiumbe nampa nafasi ya mwisho maana muda muda wowote anakubadilikia)
 
Wakuu hili ni jambo la msingi na lenye baraka.
Kumthamini mkeo/mumeo kuliko mtu mwingine yeyote!

Watu wengi huwa wanadharau hili na kuwapa wake/waume zako second priority na ile ya kwanza ikawa kwa mama au watoto.
.
Kweli hapo utakuwa umechemsha...
Wazazi au Watoto wananafasi kubwa sana kwenye maisha yetu.
Ila mke/mume nafasi yake ni kubwa zaidi.
Sio ndugu yako huyo, ni sehemu ya mwili wako kabisa.

Swali, wewe kwako ninani unampa nafasi ya juu zaidi?
1. Mke/Mume
2. Wazazi
3. Watoto...
Karibuni tujadili kidogo hili.
Labda kama wewe ni chokoraa. Mama aliekutunza tumboni kwa miezi tisa ulinganishe na mtu uliekutana nae barabarani?
 
Kuna mbaba mmoja alikua anawapa live watoto wake kua kamwe hawawezi kupendwa zaidi ya mama yao... Eti waliwakuta na baada ya mda watawaacha...

Mzee kabaki na mkewe nyumbani! Watoto kuwaona kwa manati

uyoo mzee ni wawapi?
 
Acha zako wewe,yani nimthamini mtu niliekutana nae ukubwani na kumuacha alienilea?
Jaribu kutazama muda awaliokulea wazazi na muda atakaokulea mkeo/mumeo, je vitalingana? Kwa miaka ya hivi sasa mzazi mwingine anaweza kumlea/kuishi na mwanae kwa miaka mitatu tu halafu anampeleka shule ya boarding kulelewa huko, ikiwa miaka mingi ni 20 tu halafu mtoto anaolewa/anaoa. Huyo atakayemuoa/olewa naye anaweza kuishi naye kwa miaka michache mfano hadi 30 na kuendelea. Basi sasa wewe endelea kufikiri tena, je ni nani zaidi?
 
Back
Top Bottom