wahaya mnatuchafulia lugha yetu bwana!
kwenye 'a' mnaweka 'ha' na kwenye 'ha' mnaweka 'a'!
lol.. nimeishi bukoba kwa miaka miwili nikiwa High school, nimeishi vizuri sana na akina KOKUTONA! they are beautiful, charming, caring, hawana maringo kwa wageni...!
Ukitongoza huzungushwi, kila weekend tuko beach tu!
maisha yenyewe mepeeeesi, umeme haukatiki wala nini!
dah! thank you bukoba! life is very simple there..!
pondeni huku mkisifia na vingine..!
Wahenga walisema "jasiri haachi asili" nimeishi sehemu mbalimbali nikichangamana na makabila tofauti wanawake wa kihaya ni wachafu kwa tabia na hawafai kuolewa hawa watu hawaheshimu ndoa kabisa ni wachepukaji waliokubuhu na hii tabia sijui wanaambukizana tena ukute kaolewa na kabila lingine ndo atachepuka mpaka basi.
Niko poa.
Hebu nipe habari za hiyo "mimaji"
Abee sweeetieeee pie, my cup cake
Sijambo wa kwetu, mpotezee tu, binadamu ndivyo tulivyo....karibu kwetu pia.Hujambo Kokutona. habari za kwetu. Sijapenda post ya huyu jamaa kutukana makabila ya watu by sweeping statements.
Karibu Kwetu. Have a nice weekend
Kuna mbwira kakusema vibaya roho yangu ikaniuma..... Hujambo laaziz? Mtaa wa pili sikuoni kabisa au umeishiwa?Abee sweeetieeee pie, my cup cake
Katoto kadogo lakini kanawanaume kibao,,kama kale ka imelda,,,ni noma,,,,ili kabila limezidi kwa michepuko,,,
Akuuu...!!
Naogopa nsije tolewa nduki na wenyewe, kwahiyo babu unamaanisha ktk pitapita zako hujawai kutana na hiyo "mimaji"
afadhali mama kabamia umekuja. Lahh!!!!
Kucharanga visimi lazmaVipi tabia ya kucharanga visimi bado ipo??
Shiiiiiiiiiii........ ngoja watoto walale........:llama:
dah! mkuu, nawashangaa sana wanaowabugudhi wabebez wa kihaya! wahaya wanajaua kupenda bwana! mi nili-experience upendo love yao! hawana hiana kabisa kwa watu wasio kabila lao surely nakwambia!Excel you've spoken it audibly, watoto wa kihaya hua sio wasumbufu kabisa, wapole, wakarimu, hivi unakumbuka mafigure yao ya kibantuu, too good to mention...
Hawana blah blah wakiwa kwao (bkb) , tatizo lao kubwa ni majiii... afu mkuu hujakutana na neno #mnyamahanga
Ahsante rafiki kwa kueleza true face of us. Ila hiyo ya kutongozwa usizungushweee mmmh, nadhani ni tabia ya mtu binafsi, not tribe.
By the way, nimekumiss sana
Nilitaka nishangae,, inawezekanaje babu asifahamu yale "majii"
:::blink:::
Hahahahaah kwamba sijawahi kwenda gulioni Katerero? Na umri huu???