Mke mpya wa Mfalme Mswati

ananyanyasa watoto wa watu...hawez kuwatimizia wote.sana sana ataishia kuwafanyia mbaya walinzi wake.
 
Wake 15 kama hauna hela ya kukupatia lishe ya maana mwezi mmoja tu utapoteza nuru usoni.
 
Nahisi watumishi wake ndo wanawashughulikia hao wake wa mfalme
 
Cha ajabu wenyewe na familia zao,kwao ni bonge la sifa
 
Cha ajabu wenyewe na familia zao,kwao ni bonge la sifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…