Mke mkorofi

Mke mkorofi

akiharibu vitu msinunue tena, atakuwa anajipiga mwenyewe kwenye ukuta

Asante na kweli mm nimeamua sinunui tena chochote. TV ni ya chumbani kwa hiyo sasa ikifika asbh nikitaka kwenda kuangalia taarifa ya hbr sitting room anakataa anasema huko house girl wanasafisha na wamevaa kanga hataki..
 
Pole sana, however I think hauja tupa information zote hapo , Au uwongo?

Mimi navyo tazama hapa kutokana na kauli yako, mke wako hataki kushindwa.

Sa kwanini usiwe unampa tu ushindi, ili asipate ule wendawazimu wa kuvunja vitu :biggrin1:

Mkuu hapo atakuwa analea ugonjwa, na asishangae one time mke akaja akademand something very big, si anajua atawin.. Hapo akijifanya kichaa we fit kuwa mfanyakazi wa Mirembe.:bange:
 
Mmmh hujapata kama huyu. Unaweza kusema hivyo lakini ujue lazima itakukwaza
nakutaniaga mwaego. unajua kuna kitu kinamsukuma kufanya anayofanya, Chris Rock anakichekesho chake kimoja anasema unaeza kuta mke anaanza tu tibwili from nowhere, lakini ishu hasa ni hukua first choice ( dream husband / prince charming) sasa anakua hana pa kuzipeleka ghadhabu, madissapointment na mafrustration zaidi ya kwa mmewe. huenda uko kwene scenario kaa hii.
 
Simama kama kichwa cha nyumba! ikishindikana mpeleke kwa wazazi wake mkaliongelee! mwisho kamfanyie maombi labda pepo!!
 
Mkuu hapo atakuwa analea ugonjwa, na asishangae one time mke akaja akademand something very big, si anajua atawin.. Hapo akijifanya kichaa we fit kuwa mfanyakazi wa Mirembe.:bange:

Thanks a lot..im sensing it now kwa kweli..
 
Simama kama kichwa cha nyumba! ikishindikana mpeleke kwa wazazi wake mkaliongelee! mwisho kamfanyie maombi labda pepo!!

Wangu alikuwa jeuri hadi haoni kama ana tatizo! Sasa utaanzia wapi kumpeleka..
 
Wangu aliaga dunia... ila tabia zake,yaani copyright na za mkeo..
Amenifanya nisitamani ndoa tena..

Mmmh pole sana..yaani hata mm ikitokea kuachana nitaona bora nikae mwenyewe tu..and najua nitaweza tu..yaani ni mzuri tu tatizo tabia yake haiendani kabisa..
 
Wangu alikuwa jeuri hadi haoni kama ana tatizo! Sasa utaanzia wapi kumpeleka..

Mbona anafanana na wangu..yaani anaona she is right kabisa..sasa nasema kweli moyoni anaona hvyo au ni nje tu kwani inakua obvious kakosea lkn hataki kabisa anasema mm ndio nina kosa..
 
huyo anapima kina cha maji akivunja mchape vibao atatia akili
 
Na kanisani anaenda sana
kusali..na tunaenda wote pia..ila anatukana sana matusi utafikili nn
sijui.

ndo naanza kuamini dunia ina mambo, yan kuna watu wanaishi maisha zaidi ya ukoloni au zaidi ya kuwa ukonga prison, hyo co ndoa bali kambi ya kukutesa hapa duniani
 
Hi dada Lara tunaita dawa ya moto ni moto
 
Pole sana ndugu, mm nakupa ushauri kiroho na kimwili na vyote uvitumie, kwanza huyo ulimdekeza tokea mwanzo alivyoanza wewe ulichukulia poa matokeo yake leo yamekuwa makubwa,kimwili ni hivi siku moja akifanya hivyo mchenjie kweli kweli ajue umekasirika ikibidi kibao kitumike hata Biblia imesema fimbo huondoa ujinga kwa mtoto na huyo tabia zake ni za kitoto hivyo usimnyime fimbo lakini usimuumize piga sehemu ambazo hazina madhara. Kiroho uende kwa mchungaji afanyiwe councelling na delivarance, pia nawe beba mzigo wa kuiombea ndoa yako na familia kwa ujumla shirikisha hata watu wa kiroho waombe nawe. Mungu mwema ataweka yote kuwa sawa.
 
huyo hizo hasira ndio tatizo lake.na hasira za kuvunja vitu ni mbaya mno,maana mwisho wa siku vitu vitakuwa havitoshi,atakuwa anakupiga na wewe.na mtu wa hivyo kubadilika inakuwa ngumu.akisha vunja vunja anaomba msamaha.tatizo na wewe unamlea kwa kununua vitu.na sio healthy kwa watoto wako,maana na wao mwisho wataishia kuiga.
 
Kweli, huenda ndivyo alivyo lelewa toka mwanzo, au anatatizo la kiroho!! shirikisha watu wa mungu wamfanyie maombi ndugu
 
nakubaliana na wewe mkuu kama hatoki nje ya ndoa mpe ushindi kila anachotaka muishi kwa amani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom