marrykate
JF-Expert Member
- Mar 4, 2012
- 733
- 443
Asante na kweli mm nimeamua sinunui tena chochote. TV ni ya chumbani kwa hiyo sasa ikifika asbh nikitaka kwenda kuangalia taarifa ya hbr sitting room anakataa anasema huko house girl wanasafisha na wamevaa kanga hataki..[/QUOTE
ana lake jambo huyu, mwambie amtimue hg ili awe peke yake ndani, kwan hg unaonana nae akiwa sebuleni tu