The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
Kule nchini Uganda wao wakigundua kama mtoto wao wa kiume hawezim kumtia mimba mkewe, basi wanateuwa mdogo wa mume au kaka wa mume ambaye yeye hafanyi makosa bila mwenye mke kuambiwa, kinachotakiwa, mke anaelezwa kila kitu na shangazi wa mume hivyo anaelewa somo,hivyo zle siku a hatr zikikaribia anatoa taarf kwa shangzi kisha mwenye mke anatengenezewa safari, akiondoka tu huyo ndugu yake aliyeteuliwa anamuingilia mke wa kaka yake hata kaka akirudi wanasiilizia kwa mwenzi mmoja mke akithibitisha amepata mimba inakuwa ni furaha ya familia.
Lakini hakutakuwa na uhusiano wa mapenzi na mtia mimba hadi pale itakapohitajika mimba nyingine, ndiyo zoezi hilo litafanyika.
Sijui kaka yangu Pasco hii imekaaje?
hiii culture ipo pia kwa wazulu South Africa...
mdogo mtu anaweza kulala na mkeo huku we hujui.....naona na TZ ipo sana kwa baadhi ya kabila Dark City amewahi mention
Last edited by a moderator: