Mke kuzaa nje ya ndoa

Mke kuzaa nje ya ndoa

Kwa hiyo mke kupta mimba ya nje akiwa ndani ya ndoa, sio lazima iwe ni majanga, sometimes ni blessings!. Ila pia jamii zetu zimegubikwa sana na mfumo dume!. Sisi wanaume kila siku tunazaa nje ya ndoa and its usually not a big deal!.
Lets be fair kwa wake zetu!.
Thanks.
Mkuu kuzaa mke kupata mimba nje ya ndoa , inaletaga majanga sana tena asilimia kubwa wanajutiaga baadae tena sana , ni wachache sana wanakuwa sawa.
Na kumbuka kitu kama hicho inapelekea mapaka ndoa takatifu iliyofunganishwa na MUNGU kuvunjika ndoa ngapi zimevyunjika kisa mke kaleta mtoto wanje ndani ya ndoa.
Tena wakati mwingine. Hao wa mtoto wa nje wanaishi maisha magumu mpaka hurumu.
 
Ndani ya mfumo dume watoto wa njee walikubalika ndani ya mifumo ya haki sawa hakuna mwanaume yupo tayari kulea mtoto wa njee.
 
Ila kweli wanaume ndo tunaongoza kwa kuchepuka had kuzaa nje mtoto akijulikana yanaongeleka ila mwanamke akifanya ivo mamb hayaongeleki had kuachwa kwa mwanamke
 
Hizo ndo changamoto za ndoa, vijana tumeelewana hadi hapo??!!!!
 
Mkuu umesahau na ile unachepuka na mke wa mtu na akikupenda sana anakutunuku mtoto eti kukudhihirishia anakupenda kweli ilhali yeye ni mke wa mtu ila mtoto hakupi utaishia kumwona tuu sio kummiliki.

Mi huwa nasema hizo ni bullshit theory. eti nikutunuku mtoto wkt hutokaa umuone, hutokuwa na uhuru nae? Mapenz sometimes bi ukichaa
 
Back
Top Bottom