Mke kuvaa nguo za mumewe ni sahihi?

Mke kuvaa nguo za mumewe ni sahihi?

Ndio maana ukinisogelea nahisi Harufu ya k kumbe mmashare na mkeo.....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaaah
 
Na wewe piga chupi zake.
Shanga zake n.k kwani mnashea vingapi
 
Kwa muda sasa nimekuwa niki keleka pale wife anapotupia/vaa tisheti zangu

Na kuvimba nazo kitaa wakati huo nimemnunulia zake na anazo za kutosha na kila fashion ikitoka namchukulia ila ajabu havai anaweka tu kwa begi

Mara nyingi hua namuhoji majibu sipati ya kueleweka na mimi nimemvumilia nimechoka

Kuna muda Natamani hata nichome moto nguo zangu zenyewe nibaki tu na nguo ninazo vaa mwilini

Hata nikiitwa kauka ni kuvae poa tu maana unapita kitaa na tisheti unasikia kavaa la mke wake sasa mambo gani haya

Naombeni kujuzwa hili ni haki mke kuvaa nguo za mpenzi wake

Na je hiyi hali ya mke kupenda kuvaa nguo za mumewe kitaalam linaitwaje?
Shukuru Mungu sana, maana mwingine anakuchomoa tu, ukiondoka tu kakusahau, ila huyo umepata, huyo inafaa umpe heshima kubwa maana haoni aibu kuwa kavaa nguo ya fulani na ana uhusiano na fulani, kinyume chake ni wale wa kukanwa na Yuda, Anakuambia taratibu "kiukweli mimi sitaki matangazo, sio kila mtu ajue nikisikia tu tunaachana, ni siri yetu mimi na wewe tu kila mtu ajue kuwa we unatembea na mimi na sitaki tuongozane, we pitia huko nami nitapitia huku" je huyo atakaekuambia hivyo ikiwa kama unampenda si ndio itakua kumbembeleza umpeleke kwenu ? naye atakua anakataa maana hakupendi kabisa, amelazimika kwa sababu fulani, huyo amekupenda na kila uvaacho amekipenda ana mapenzi ya dhati, nimeona hivyo kwa sababu niliyoitaja
 
Back
Top Bottom