Wengine wanavaaa hadi boxer zetu[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa muda sasa nimekuwa niki keleka pale wife anapotupia/vaa tisheti zangu
Na kuvimba nazo kitaa wakati huo nimemnunulia zake na anazo za kutosha na kila fashion ikitoka namchukulia ila ajabu havai anaweka tu kwa begi
Mara nyingi hua namuhoji majibu sipati ya kueleweka na mimi nimemvumilia nimechoka
Kuna muda Natamani hata nichome moto nguo zangu zenyewe nibaki tu na nguo ninazo vaa mwilini
Hata nikiitwa kauka ni kuvae poa tu maana unapita kitaa na tisheti unasikia kavaa la mke wake sasa mambo gani haya
Naombeni kujuzwa hili ni haki mke kuvaa nguo za mpenzi wake
Na je hiyi hali ya mke kupenda kuvaa nguo za mumewe kitaalam linaitwaje?
Ndio maana ukinisogelea nahisi Harufu ya k kumbe mmashare na mkeo.....Wengine wanavaaa hadi boxer zetu[emoji23][emoji23][emoji23]
Like that [emoji23][emoji23][emoji23] vitu vingine vinaweza[emoji24][emoji24][emoji24]Ndio maana ukinisogelea nahisi Harufu ya k kumbe mmashare na mkeo.....
Alafu nigundue nini ? Afu we jamaaSasa nawe si uvae chupi zake au shida nini asee?
Mama samia kasema tuko huru kuongea na huu ndio uhuru wenyeweWe vaa chupi zake kumkomoa. Ila Jf ina wavulana matatizo matupu, kiila kitu mnakileta humu yaan vingine vya kawaidaa, vidogoo lkn utaandika huku. Moja ni kutaka kujionyesha na pili ni Ulimbukeni tu wa hawa wavulana. Sasa kwa Mfano tu hiyo kuvaa nguo zako ina shida gani? Au bas umeshindwa kumkataza kwa upole tu mpaka ulete huku? Sasa haya yanakushinda lipi utaliweza kama baba wa familia?
Mkuu kumchoka Sijamchoka ila sasa sipendi kunivalia nguo zanguHivi mnataka mpendweje nyie? Hayo ni mahaba kaka, mkeo anakupenda sana tu! Wenzio wanashea Hadi nguo za ndani sembuse t-shirt! Hiyo ni dalili ya kumchoka mwenzio