Mke kuvaa nguo za mumewe ni sahihi?

Mke kuvaa nguo za mumewe ni sahihi?

Anza kumnunulia nguo kama zako,yani ukinunua tishet lako,mnunulie na yeye kama hilohilo,ili akivaa la kwako,we unalichukua lile la kwenye begi ambalo linafanana na alilolichukua.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Nimefanya hayo ila anangoja nikitoka anazi vaa zangu sasa sijui zina nini[emoji34][emoji34]

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Weka picha yake tumuone alivyopendeza...
Hiyi
IMG_20211018_121539_938.jpg

Sent from my ndenjiii five using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mm nitazingatia swala la Uchoyo..

Acha mara moja,,.. angekuwa akivaa nguo zako,, wewe unakosa za kuvaa hapo sawa..

Acha uchoyo,,, ujinga ukutoke...
 
Kwa muda sasa nimekuwa niki keleka pale wife anapotupia/vaa tisheti zangu

Na kuvimba nazo kitaa wakati huo nimemnunulia zake na anazo za kutosha na kila fashion ikitoka namchukulia ila ajabu havai anaweka tu kwa begi

Mara nyingi hua namuhoji majibu sipati ya kueleweka na mimi nimemvumilia nimechoka

Kuna muda Natamani hata nichome moto nguo zangu zenyewe nibaki tu na nguo ninazo vaa mwilini

Hata nikiitwa kauka ni kuvae poa tu maana unapita kitaa na tisheti unasikia kavaa la mke wake sasa mambo gani haya

Naombeni kujuzwa hili ni haki mke kuvaa nguo za mpenzi wake

Na je hiyi hali ya mke kupenda kuvaa nguo za mumewe kitaalam linaitwaje?
Acha kununua t-shirts, ambazo ni rahisi kuvaliana, nunua shart linaloonekana ni la kiume kabisa, hata akilivaa na wewe ukivaa, hautaambiwa ni la mkeo.
 
😂😂😂😂😂😂 jamaa MNOKO kweli aisee. Yaani Mke kuvaa T-shirts za Mumewe ni kitu cha kugombana kweli? Kuna haja ya kufungua chuo cha MAPENZI ili kufundisha mambo mbali mbali yanayoweza kujiri ndani ya penzi na yale ambayo ni LAZIMA yasikosekane maana naona baadhi wanadhani mapenzi ni kuingiza dushe ukapata utamu 🤣🤣🤣🤣

Mahaba Baba hayo..embu acha kumind vitu vidogovidogo...😂😂
Badhi ya wanaume wa jf bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwingine alilalamika mkewe anamganda ganda mara hataki akumbatiwe kila saa

Mwingine hataki mkewe avae nguo zake[emoji23][emoji23]

Mwingine eti mkewe anampiga mizinga..Sasa usipompa hela ,nani ampe?[emoji23][emoji23]

Kutwa zima, wanaume wanaleta malalamiko yasiyo ya msingi kuhusu ndoa zao compared na wanawake....
 
Wakwetu wannavaa mpaka Boxa
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Duuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wanawivu kinoma akiona Tu umevaa t-shirt umependeza anayo tena anaivutavuta Sana ili ck ukiivaa isikukae vzr , na pia waliomuona wajue wewe umeoa

Hahahah

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na wanawivu kinoma akiona Tu umevaa t-shirt umependeza anayo tena anaivutavuta Sana ili ck ukiivaa isikukae vzr , na pia waliomuona wajue wewe umeoa

Hahahah

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndio hapo tu panapo nichosha
 
Muhamad mwenyewe alivaa nguo Za mkewe... kawaida Tu mkuu
 
Kwa muda sasa nimekuwa niki keleka pale wife anapotupia/vaa tisheti zangu

Na kuvimba nazo kitaa wakati huo nimemnunulia zake na anazo za kutosha na kila fashion ikitoka namchukulia ila ajabu havai anaweka tu kwa begi

Mara nyingi hua namuhoji majibu sipati ya kueleweka na mimi nimemvumilia nimechoka

Kuna muda Natamani hata nichome moto nguo zangu zenyewe nibaki tu na nguo ninazo vaa mwilini

Hata nikiitwa kauka ni kuvae poa tu maana unapita kitaa na tisheti unasikia kavaa la mke wake sasa mambo gani haya

Naombeni kujuzwa hili ni haki mke kuvaa nguo za mpenzi wake

Na je hiyi hali ya mke kupenda kuvaa nguo za mumewe kitaalam linaitwaje?
Mwenzio anajivunia kuvaa nguo zako ili aonekane na wanawake wenzake kuwa wewe ni wake....unakasirika nini?
 
Back
Top Bottom