Mke kuthamini ndugu zake kuliko Mume

Mke kuthamini ndugu zake kuliko Mume

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
27,921
Reaction score
39,108
Wakuu inakuaje Mke anathamini na kusikiliza ndugu zake kuliko mumewe? Mfano, tumefunga ndoa miaka 10 iliyopita (2008) kama tunavyoonekana pichani. Peter''s RC church Dar baadae nilihamishiwa kikazi Namanga miaka 5 iliyopita (Mke akabaki Dar lakini Mke hajawahi kuja kunitembelea hata mara 1 japo mm najitahid kila mwezi naenda kusalimia Dar. Nikiuliza anadai yupo bize. La ajabu mara kadhaa anasafiri kwenda Mwanza kumuuguza mjomba (mwenye Mke na watoto). Nimeduwaa, nimeamua kuwa mpole kwa muda ili kupisha hasira hii.
 

Attachments

  • 20663709_678784005645058_79785597074141564_n.jpg
    20663709_678784005645058_79785597074141564_n.jpg
    60.4 KB · Views: 59
kuhusi kupenda ndugu kuliko wewe yuko sawa coz mmekutana ukubwani na ndugu wamemlea ila la kutokuja kukutembelea itakuwa anapepo kwa upande mmona au mwingne mapenz yake kwako 47 % ayo maoni yangu tu
 
Wakuu inakuaje Mke anathamini na kusikiliza ndugu zake kuliko mumewe? Mfano, nilihamishiwa kikazi Namanga miaka 5 iliyopita (Mke akabaki Dar lakini Mke hajawahi kuja kunitembelea hata mara 1 japo mm najitahid kila mwezi naenda kusalimia Dar. Nikiuliza anadai yupo bize. La ajabu mara kadhaa anasafiri kwenda Mwanza kumuuguza mjomba (mwenye Mke na watoto). Nimeduwaa, nimeamua kuwa mpole kwa muda ili kupisha hasira hii
We huenda hujaelewa kinachoendelea, hamna mjomba wala shangazi, kuna jibaba linakatikia kiuno sahv huko, subiri utaambiwa bibi kafariki anaenda kukaa mwez msibani ila we usiende mtumie tu mchango wa msiba...
 
wewe saidia lakini usipeleke hela yote,sio kupeleka upeleke mwenyewe kisha ulalamike lol
 
Back
Top Bottom