Mke kuomba talaka wakati mjamzito imekaaje

Mke kuomba talaka wakati mjamzito imekaaje

Wenge la mimba tuu hilo, ukute kakumiss anaamua kulianzisha!

Halafu sasa kila mtu anakazia mimba sio yako utadhani walikuwepo! Mwenye mke anajua alimuacha mkewe na mimba, na issue hapa mleta mada kasema mkewe anaomba talaka huku akiwa na mimba, means anajua mkewe alimuacha na mimba!
 
Jamani wana jamvi nomba ushauri juu ya mke wangu anomba talaka wakati anujauzito inshu iko ivi mm nilisafili kwa muda usio pungua mieezi6 nilikuwa na mtumia ela kila siku saizi kanipanga anataka kuniacha.
Ni hali ambazo huwatokea wajawazito wengi kuwachukia waume zao... Lakini kwa hili hebu chunguza umri wa ujauzito kisha fanya uwiano
 
Ng'ang'ana tu, keshakwambia anataka asepe we endelea kukomaa tu
 
hapo jamaa akae makini...inawezekana ameibiwa...nampa pole sana kijana mwenzangu
 
Mimba Ina msumbua huyo hata usiteseke mpe nauli akajifungue akimaliza mwambie aje kuchukua talaka.....
Utashangaa akijifungua akili inarudi sawa mnaendelea na maisha
 
Mpaka anaomba talaka ilihali yuu mjamzito ina maana kuna tatizo kati yenu...

Tena wewe ndiyo itakua tatizo...

Cc: mahondaw
 
Jamani wana jamvi nomba ushauri juu ya mke wangu anomba talaka wakati anujauzito inshu iko ivi mm nilisafili kwa muda usio pungua mieezi6 nilikuwa na mtumia ela kila siku saizi kanipanga anataka kuniacha.
mle tigo
 
huyu dada ataiona pepo,
Fanya hivi ongeza matendo mema kwa wazazi wake ,ndugu na marafiki zake na jifanye kipofu kuhusu ujauzito huyo baada ya kukusaliti anataka apunguze aibu ya kuzaa nje kuwa aliachana ndo akabeba mimba usimtaliki hadi mtoto azaliwe awe na mwaka aumbuke vizuriiiiiiiiiiii
Ataiona pepo = hataiona pepo
 
Anakupunguzia presha na majukumu ya siyo ya lazima kwani mtoto sio wako..
 
Nashidwa kabisa kukushauri maana maelezo yako hayajakamilika.
Ulisafir miezi 6 je! Ulimuacha akiwa mjamzito? Au amechepuka na Sasa anataka kuondoka kwako kwa kuofia aibu ya mtoto atakaye zaliwa?
Cha msingi mwambie arudi nyumbani alafu utamtumia taraka yake huko huko kwako.
Au mwambie inabidi uwashirikishe Kwanza wazazi wote wa pande mbili Kisha ndio utoe talaka
 
Back
Top Bottom