Mke kuomba talaka wakati mjamzito imekaaje

Mke kuomba talaka wakati mjamzito imekaaje

kipedo

Senior Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
166
Reaction score
84
Wanajamvi naomba ushauri juu ya mke wangu anomba talaka wakati ana ujauzito.

Issue iko hivi; Mimi nilisafiri kwa muda usiopungua miezi 6. Nilikuwa namtumia hela kila siku. Sasa hivi kanipanga anataka kuniacha.
 
Ujauzito una miezi mingapi, ikizingatiwa kwamba wewe ulisafiri zaidi ya miezi sita?
 
Jamani wana jamvi nomba ushauri juu ya mke wangu anomba talaka wakati anujauzito inshu iko ivi mm nilisafili kwa muda usio pungua mieezi6 nilikuwa na mtumia ela kila siku saizi kanipanga anataka kuniacha.
Umeiweka wapi talaka ya mwenzio,mpe bhana
 
Jamani wana jamvi nomba ushauri juu ya mke wangu anomba talaka wakati anujauzito inshu iko ivi mm nilisafili kwa muda usio pungua mieezi6 nilikuwa na mtumia ela kila siku saizi kanipanga anataka kuniacha.
Wenge la mimba hilo mkuu. Shirikisha wazee, halafu jifanye kukiri makosa ya kumkosea yeye hata kama mwenye makosa ni yeye.

Msipokuwa wakomavu kipindi hiki, wengi huvunja ndoa zao kabisa, kisababishi ni hilo wenge la ujauzito!

Katika hii 'season' anakuona wee mbaya, hata umfanyie nini. Kwanza saazingine anasikia unanuka vibaya, hata uingie kwa kunyemelea ndani mwenu, yeye pua lake lazima lisome.

Natumaini akijifungua huo ujinga ataachana nao.

Sasa akikomaa na ishu hiyo baada ya kujifungua, basi dili naye kama mke mwenye akili timamu, kwa kufuata milolongo ileile wafuatayo wanandoa waingiapo kwenye migogoro katika kutafuta usuluhishi.
 
Jamani wana jamvi nomba ushauri juu ya mke wangu anomba talaka wakati anujauzito inshu iko ivi mm nilisafili kwa muda usio pungua mieezi6 nilikuwa na mtumia ela kila siku saizi kanipanga anataka kuniacha.
Amejisalimisha,mimba sio yako
 
Mkeo saiz ana akili nusu... nusu ilobaki kamgawia mwanae hvyo Basi anachokiongea Hapo sio yeye...we msikilize tu mpka siku akijifungua... Akikwambia Wakat kashajifungua wala usije kuuliza we Nenda moja Kwa moja kasaini talaka.
 
Labda mimba imekuchukia au sio yako au labda Ni kichaa Cha mimba..... CHUNGUZA
Kichaa cha mimba tunakijua vyema?Hakihusiani na kurukwa akili wala kujichetua.

Mimba sio yake.
 
Jamani wana jamvi nomba ushauri juu ya mke wangu anomba talaka wakati anujauzito inshu iko ivi mm nilisafili kwa muda usio pungua mieezi6 nilikuwa na mtumia ela kila siku saizi kanipanga anataka kuniacha.

Kadanganya na wanaume, ameaidiwa kuolewa na mimba si yako ... ila wakati mwingine wanaume tunaonewa....
 
Ina maana hukuhusika na hiyo mimba ina mwenyewe, pole Mkuu.

Jamani wana jamvi nomba ushauri juu ya mke wangu anomba talaka wakati anujauzito inshu iko ivi mm nilisafili kwa muda usio pungua mieezi6 nilikuwa na mtumia ela kila siku saizi kanipanga anataka kuniacha.
 
Kwa sheria ya dini yetu ya kiislam, haitakiwi kumpa mwanamke mjamzito talaka, kama suala ni talaka subiri ajifungue
 
Sasa unasubiri nini kumpa talaka?
mpe mwenyewe akili itakuja kumkaa sawa.
 
Back
Top Bottom