Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,490
Sikupata hata wa kunialika jamani dear!Jamaniii darlin nakuhamu mnoooo,
na Eid ukala pilau peke yako.
[emoji24]
Sikupata hata wa kunialika jamani dear!Jamaniii darlin nakuhamu mnoooo,
na Eid ukala pilau peke yako.
[emoji24]
Jamani wana jamvi nomba ushauri juu ya mke wangu anomba talaka wakati anujauzito inshu iko ivi mm nilisafili kwa muda usio pungua mieezi6 nilikuwa na mtumia ela kila siku saizi kanipanga anataka kuniacha.