msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
Uzi unazungumzia mashati vitenge ila we umezungumzia nguo za kushona bila kuspecifyUzi unazungumzia nguo zavitenge zilizo shonwa au Adi jeans na flana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nilikuwa namanisha siwezi kuvaa namba 2 Ila namba moja navaaUzi unazungumzia mashati vitenge ila we umezungumzia nguo za kushona bila kuspecify
Sent using Jamii Forums mobile app
halafu tunavaa kwenye matukio makubwa makubwa
ikiwezekana tunashikana na mikono
, halafu ananifungulia mlango wa gari
nikitaka kushuka au kupanda
halafu tukishuka tunafanta Kama vile shati lake limekaa upande namtengenezea
na yeye anainama kutengeneza sketi au hata kupangusa kidogo kana kwamba kuna takataka
baada ya kumaliza mbwembwe ananikiss
halafu ananishika mkono tuelekee tunakoingia
yaani hapa mie huwa nazimia kwa mahaba
yaani najiona Niko paradiso kabisa

ndio mapenzi yenyewe! kusikilizana au wewe unapenda kutosikilizana? hapo sasa ni shida!!UKIONA IVYO JUA MWANAUME EITHER ANATAWALIWA AU ANAMSIKILIZA SANA MKE WAKE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli,jaribu tu kutafakari wewe na mkeo hamuivi,halafu mnatoka unamuona mwenzio kavaa kitenge na wewe unatafuta kinachofanana na chake unavaa,hiyo ni next to impossible.Ukiona wamevaa hivyo vitenge vya kufanana ujue kabisa kuwa kuna element ya kupendana...Hii inaonyesha kupendana,kushauriana na kusikilizana.Kama hakuna upendo ni ngumu kumshauri mwenzio kuvaa sare .
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mana wakivaa sana ni jumapili pekee. Tena hapo wanajua route si ndefu.Ni upendo tu, sema wanaume wengi huwa hawapendi huo mmechisho.
. Mkeo anakuzibia rizki hamna loloteMie kifupi sipendi sare kabisa, ila nikioa nitavaa ili mbebez afurahi!!
Ahahah asee.Ukitaka kuoa nishtue ili tuwe tunashona sare tena za kijani na njano😋
EwaaaaaaasMie kifupi sipendi sare kabisa, ila nikioa nitavaa ili mbebez afurahi!!
Ni mapenzi tu hakuna la zaidi! Tena mimi huwa nanunua vitenge pc 3, nashina mm, Mr shati na vitoto vyetu mapacha teh teh.Habari ndugu wataalam wa ndoa na saikolojia?
Hivi huwa kuna tafsiri gani ya kisaikolojia mwanamke kumshonea mume wake mashati ya vitenge na hata kitenge kununuliwa na kugawanywa moja anashona gauni na kipande kingine shati la mume!!
Wengine wanasema ni dalili za mwanaume kutawaliwa na mke wake. Je nini mitazamo yenu katika hili hasa wale wazoefu wa mambo ya ndoa!
Hivi haya yapo kabisa laivu yanatokea???Mi najua ni maigizo tu katika tamthilia, filamu na bongo muvi….Maigizo hayo sijawahi kufikiria kabisa yaani nimfungulie mlango asiye mlemavu???Sie tunaonaga fahari sana kuvaa sare na mume, tunawaringishia ambao hawajaolewahalafu tunavaa kwenye matukio makubwa makubwa
ikiwezekana tunashikana na mikono
, halafu ananifungulia mlango wa gari
nikitaka kushuka au kupanda
halafu tukishuka tunafanta Kama vile shati lake limekaa upande namtengenezea
na yeye anainama kutengeneza sketi au hata kupangusa kidogo kana kwamba kuna takataka
baada ya kumaliza mbwembwe ananikiss
halafu ananishika mkono tuelekee tunakoingia
yaani hapa mie huwa nazimia kwa mahaba
yaani najiona Niko paradiso kabisa![]()
![]()
Sema hii huwa ni bonge la feki maana atatoka na hichohicho kitenge ataenda kwa mwingine![]()
Ahahaha sio kila siku sasa, kwenye special occasions or Church!! na kama tuna katoto cha kike nacho kinatupiaaaa.Ewaaaaaaas
Eeh siku moja moja church inanoga banaAhahaha sio kila siku sasa, kwenye special occasions or Church!! na kama tuna katoto cha kike nacho kinatupiaaaa.
He he hee...siku hiyo mie nitakua full kusmile tuu!!Eeh siku moja moja church inanoga bana