HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,244
- 103,356
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo mengine tuwaachie tu Wanyakyusa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu shukrani kwa kusaidia kuelewesha, ila huyu jamaa haelewesheki. Mtu aliyeelimika huwa anakubali kukosolewa pale alipokosea, lakini huyu jamaa hajielwi hata anaandika nini? Akieleweshwa anajidai mjuaji ndio maana nikaachana nae. Mtu unamfunika yeye anajifunua, mwisho wa siku unaliacha likae uchi watu walicheke.