Mke kumshonea mume wake mashati ya vitenge

Habari ndugu wataalam wa ndoa na saikolojia?

Hivi huwa kuna tafsiri gani ya kisaikolojia mwanamke kumshonea mume wake mashati ya vitenge na hata kitenge kununuliwa na kugawanywa moja anashona gauni na kipande kingine shati la mume!!

Wengine wanasema ni dalili za mwanaume kutawaliwa na mke wake. Je nini mitazamo yenu katika hili hasa wale wazoefu wa mambo ya ndoa!
Hayo ni mapenzi mubashara tu ila kwa wale wenzangu mimi ambao hawajui mapenzi wanaweza kutafsiri watakavyo.
 
Habari ndugu wataalam wa ndoa na saikolojia?

Hivi huwa kuna tafsiri gani ya kisaikolojia mwanamke kumshonea mume wake mashati ya vitenge na hata kitenge kununuliwa na kugawanywa moja anashona gauni na kipande kingine shati la mume!!

Wengine wanasema ni dalili za mwanaume kutawaliwa na mke wake. Je nini mitazamo yenu katika hili hasa wale wazoefu wa mambo ya ndoa!
Kwangu kupenda sio kutotumia akili mpaka nianze kuvaa nguo za kike. Mwanaume kusoma shati la kitenge inakuwa ni blauzi sio shati maana ni nguo ya kike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hilo jambo ni rahisi ikiwa mnakutana mnashare interest hiyo. mfano umkute mkaka anapenda labda batiki/kitenge kwenye bag au kaptura tu hapo mnaweza kumatch freely.
 
Ninajiuliza kama huvai nguo za kushona unavaa nguo zilizofanyaje. Kwa uelewa wangu mdogo nguo zote zinashonwa ila materials ndio tofauti. Ndio maana mleta mada akawa specific kwa kutaja vitenge. Labda unifafanulie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye anaamini mitumba ya Karume haijashonwa..ha ha ha Ushamba ni mzigo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ndugu wataalam wa ndoa na saikolojia?

Hivi huwa kuna tafsiri gani ya kisaikolojia mwanamke kumshonea mume wake mashati ya vitenge na hata kitenge kununuliwa na kugawanywa moja anashona gauni na kipande kingine shati la mume!!

Wengine wanasema ni dalili za mwanaume kutawaliwa na mke wake. Je nini mitazamo yenu katika hili hasa wale wazoefu wa mambo ya ndoa!
inategemeana na couple yenyewe wana akili za aina gani
 
Habari ndugu wataalam wa ndoa na saikolojia?

Hivi huwa kuna tafsiri gani ya kisaikolojia mwanamke kumshonea mume wake mashati ya vitenge na hata kitenge kununuliwa na kugawanywa moja anashona gauni na kipande kingine shati la mume!!

Wengine wanasema ni dalili za mwanaume kutawaliwa na mke wake. Je nini mitazamo yenu katika hili hasa wale wazoefu wa mambo ya ndoa!
Una mke...??
Upo kwenye ndoa...??
Ebu kwanza jibu moja kati ya hayo maswali, kisha nitakupa jibu nyoofu linalo kufanana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom