BarajaMkush
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 1,633
- 2,983
Mambo mengine tuwaachie tu Wanyakyusa
Niuamuzi wa mtu binafsi, nikiwa na umri wa miaka 13 nilikataa kuvaa nguo za kushonshwa , itakuwaje kwa sasa mke mke ashoneshe nguo tena kitenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Navaa zinazotoka China, japani, USA, tailand, uko a washoni za vitegeNinajiuliza kama huvai nguo za kushona unavaa nguo zilizofanyaje. Kwa uelewa wangu mdogo nguo zote zinashonwa ila materials ndio tofauti. Ndio maana mleta mada akawa specific kwa kutaja vitenge. Labda unifafanulie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo zinazotoka huko hazishonwi?Navaa zinazotoka China, japani, USA, tailand, uko a washoni za vitege
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ana maana kushonwa anaiona au bado ana mawazo ya watoto wanadhani mchele utengenezwa kiwandani.Ninajiuliza kama huvai nguo za kushona unavaa nguo zilizofanyaje. Kwa uelewa wangu mdogo nguo zote zinashonwa ila materials ndio tofauti. Ndio maana mleta mada akawa specific kwa kutaja vitenge. Labda unifafanulie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu kwa comment yako. Ndio maana nimechana nae maana nimeona kama bado hajitambui hivi.Labda ana maana kushonwa anaiona au bado ana mawazo ya watoto wanadhani mchele utengenezwa kiwandani.
UnayumbaUKIONA IVYO JUA MWANAUME EITHER ANATAWALIWA AU ANAMSIKILIZA SANA MKE WAKE.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio ujitambui,Asante sana mkuu kwa comment yako. Ndio maana nimechana nae maana nimeona kama bado hajitambui hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niuamuzi wa mtu binafsi, nikiwa na umri wa miaka 13 nilikataa kuvaa nguo za kushonshwa , itakuwaje kwa sasa mke mke ashoneshe nguo tena kitenge
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kitu siipendi kuvaa sare, sio tu kitenge hata sare zingine!!!Kila mtu avae apendacho. kama ni upendo uoneshwe katika mengine!!!Hata nikiona wengine wamevaa hizo sare huwa siwaelewi
ShindwaaaaaMambo mengine tuwaachie tu Wanyakyusa
Uzi unazungumzia nguo zavitenge zilizo shonwa au Adi jeans na flana