Mke kuingia gesti na mwanamume asiye mume wake.

Carl Marx

Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
20
Reaction score
3
Kuna demu mke wa rafiki yangu ameomba niongee na mume wake kwani hawana maelewano ndani ya nyumba. Kisa jamaa alisikia mke wake alikuwa anaandikiana sms za mapenzi na mtu mwingine na walishaenda gesti pamoja.Alivyomuuliza mkewe, mke anadai zile sms ni utani tu na kule gesti ni kweli waliingia lakini hawakufanya chochote kwani alimkatalia kufanya mapenzi. Jamaa hajasema msimamo wake lakini mke anaogopa maana hata mahusiano sio mazuri. Namshaurije mume mtu? Na atamuaminije huyo mke wake kama kweli hawakufanya chochote kule gesti?
 
Aisee she has guts! Hadi gesti na mwanaume mwingne? Huyo mke anamtengenezea mumewe mazingira magumu ya kuonekana mbishi kisa mke anasema hawakufanya kitu!
 
Kuna demu mke wa rafiki yangu ameomba niongee na mume wake kwani hawana maelewano ndani ya nyumba. Kisa jamaa alisikia mke wake alikuwa anaandikiana sms za mapenzi na mtu mwingine na walishaenda gesti pamoja.Alivyomuuliza mkewe, mke anadai zile sms ni utani tu na kule gesti ni kweli waliingia lakini hawakufanya chochote kwani alimkatalia kufanya mapenzi. Jamaa hajasema msimamo wake lakini mke anaogopa maana hata mahusiano sio mazuri. Namshaurije mume mtu? Na atamuaminije huyo mke wake kama kweli hawakufanya chochote kule gesti?

Huyo jamaa yako jibu analo anaomba sympathy tu...katika mazingira hayo ni dhahiri mkeo kaliwa..hata kama hajaliwa basi ana nia ya kuliwa...nia ya kuliwa ni sawa na kuliwa tu! Jibu analo mwenyewe kuwa, kwenye situation mkeo kaliwa unamuacha (ambalo simshauri) au unamsamehe (ambalo namshauri) maisha yanaendelea. Japokuwa hata dini inaruhusu kuvunja ndoa isiyo na uaminifu but heeey...utamapata wapi mwanamke mwaminifu katika dunia hii (sisemi kwamba hawapo, lakini ni wachache and I dont think you are that lucky to get one of that type!). Siku hizi flirting imekuwa excuse ya wanawake wengi kuliwa..na ukibamba message anakuambia 'am just flirting, utani tuu'...how can you proove!? Huwezi!
 
Je wewe unalionaje hilo kabla hujashauriwa jins yakumshaur huyo kaka!!!!!!!
Sio rahis kabisa hata kama ungelikuwa wewe....,huyo mwanamke hajafanya kitu kizuri kabisaaaaaaa,yani ukutwe na sms za mapenz na ukubali umeenda gesti alafu eti hujafanya chochote.Hata kama kwel hakufanya chochote bado kutakuwa na maswal mengi yakujiuliza hapo.
 
Mambo mengine ni ngumu kushauri. Ningekuwa mimi ningemshauri zaidi mwanamke kuliko mwanaume.
Maana mkosaji ndiye anapaswa kupewa darasa la jinsi ya kuishi ktk ndoa, nini cha kufanya na nini chakutokufanya. Mwanaume ni mtendewa, so reaction ingawa inapaswa kuwa guided lkn ni it should belong to him ili consequences azi-own pia.
 
Kaunga; ushauri mzuri sana, umemaliza.
 
Mambo mengine ni ngumu kushauri. Ningekuwa mimi ningemshauri zaidi mwanamke kuliko mwanaume.
Maana mkosaji ndiye anapaswa kupewa darasa la jinsi ya kuishi ktk ndoa, nini cha kufanya na nini chakutokufanya. Mwanaume ni mtendewa, so reaction ingawa inapaswa kuwa guided lkn ni it should belong to him ili consequences azi-own pia.

Mwanamke nimemshauri na kumhoji kiundani kabisa. Anajutia lakini anasema hakufanya kitu kule gesti. Alikataa kabisa ku-do.
 
Kuna demu mke wa rafiki yangu ameomba niongee na mume wake kwani hawana maelewano ndani ya nyumba. Kisa jamaa alisikia mke wake alikuwa anaandikiana sms za mapenzi na mtu mwingine na walishaenda gesti pamoja.Alivyomuuliza mkewe, mke anadai zile sms ni utani tu na kule gesti ni kweli waliingia lakini hawakufanya chochote kwani alimkatalia kufanya mapenzi. Jamaa hajasema msimamo wake lakini mke anaogopa maana hata mahusiano sio mazuri. Namshaurije mume mtu? Na atamuaminije huyo mke wake kama kweli hawakufanya chochote kule gesti?

Huyo ni mke wake tu, mwili ni mali ya nafsi si mali ya mtu mwingine. Sasa nafsi ya huyo mwanamke kama ilimtuma kujifurahisha na mtu mwingine ya nini kumbania?

MWAMBIE AACHE WIVU WA KIJINGA!
 
Huyo jamaa yako jibu analo anaomba sympathy tu...katika mazingira hayo ni dhahiri mkeo kaliwa..hata kama hajaliwa basi ana nia ya kuliwa...nia ya kuliwa ni sawa na kuliwa tu! Jibu analo mwenyewe kuwa, kwenye situation mkeo kaliwa unamuacha (ambalo simshauri) au unamsamehe (ambalo namshauri) maisha yanaendelea. Japokuwa hata dini inaruhusu kuvunja ndoa isiyo na uaminifu but heeey...utamapata wapi mwanamke mwaminifu katika dunia hii (sisemi kwamba hawapo, lakini ni wachache and I dont think you are that lucky to get one of that type!). Siku hizi flirting imekuwa excuse ya wanawake wengi kuliwa..na ukibamba message anakuambia 'am just flirting, utani tuu'...how can you proove!? Huwezi!

Jamaa hajaomba ushauri wala msimamo wake haujulikani.
 
Mambo mengine ni ngumu kushauri. Ningekuwa mimi ningemshauri zaidi mwanamke kuliko mwanaume.
Maana mkosaji ndiye anapaswa kupewa darasa la jinsi ya kuishi ktk ndoa, nini cha kufanya na nini chakutokufanya. Mwanaume ni mtendewa, so reaction ingawa inapaswa kuwa guided lkn ni it should belong to him ili consequences azi-own pia.

Mwanaume katendewa nini? Kwani huo mwili wa mke wake ana hati miliki ya huo mwili?
 
Huyo ni mke wake tu, mwili ni mali ya nafsi si mali ya mtu mwingine. Sasa nafsi ya huyo mwanamke kama ilimtuma kujifurahisha na mtu mwingine ya nini kumbania?

MWAMBIE AACHE WIVU WA KIJINGA!

Jamaa hajasema kitu wala kuonyesha wivu. Mke tu ndo anahisi jamaa sio kama zamani.
 
akae makini maana anaweza kupata panga moja tu la kichwa kikatenganishwa duh mtu akikaa kimya huwezi kujua anawaza nini....ingekuwa mimi ningekimbia
 
  • Thanks
Reactions: awp
wewe mwanamke kama huyo dawa yake ni kwenda kumla tigo na kumbwaga
 
Huyo mwanamke ni malaya wala hapo hakuna ubishi.Hata Eva alipomruhusu shetani kuongea naye mwishowe aliishia kutenda dhambi.Hakuna tofauti na mtu kushika kaa la moto mkononi halafu huku anasema hujambo mkaa huku anaendelea kuungua.Huyo mwanamke ana pepo la ngono na ni dhambi ambayo itaendelea kumtafuna labda amkaribishe Mungu ndani yake.Hakuna mwanaume atakayekubali upuuzi kama huo.
 
Kwanza akubali alifanya kila kitu gesti alafu ndio mtafute suluhisho. Swala la kwamba hajafanya ni uongo na atajua mwenyewe. Huyo mwanaume kinachomuuma ni uongo wa uyo mwanamke, kwanza sms za mapenzi ni utani alafu uende nae gesti???????????? Haiji kabisa.
 
Hahaha Riwa, this week nilikutana na ile thread yako ya flirting kwenye mahusiano. Nikacheka sana niliposoma nilichoandika mwenyewe.

Ilinicost kweli. Ngoja nisiwajibu hawa leo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom