Mke kuingia gesti na mwanamume asiye mume wake.

Kwa nini aingie Guest in the first place?........................... Mimi hapo ndipo panaponimaliza nguvu. Akiri tu na kuomba msamaha
Umeonaeee eti aliingia lakini hakufanya kitu, nani alimwambia kama papuchi ikifanywa inajulikana, kitu yenyewe ipo kama sahani ya ma'ntilie akitumia mwendawazimu hujui inapigwa maji na wewe unatumia. akiri kosa tuu na asubiri panga la shingo
 
Je wewe unalionaje hilo kabla hujashauriwa jins yakumshaur huyo kaka!!!!!!!
Sio rahis kabisa hata kama ungelikuwa wewe....,huyo mwanamke hajafanya kitu kizuri kabisaaaaaaa,yani ukutwe na sms za mapenz na ukubali umeenda gesti alafu eti hujafanya chochote.Hata kama kwel hakufanya chochote bado kutakuwa na maswal mengi yakujiuliza hapo.
Huyo mwanamke amemkinai mumewe, na inaelekea mume anammmaindi sana mkea wake kiasi kwamba mke amepata loop hole ya kuongea chochote anachotaka kwa mumewe na mumewe asimfanye kitu. Kuna namna......
 
Mleta mada tumuulize kuwa wakati anaambiwa hayo na bibie a.k.a shemejiiiiii walikuwa wapi?????
 
Hujambo Kinara!? Naona umeamua kurudi rasmi jamvini maana ulipotea kupita kiasi ukimuona yule Kinara mwingine Nyama Yao msalimie sana.

Kwa nini aingie Guest in the first place?........................... Mimi hapo ndipo panaponimaliza nguvu. Akiri tu na kuomba msamaha
 
Last edited by a moderator:
Yani kutongozwa atongozwe yeye, raha gesti akale yeye, kisha kazi ya kuomba msamaha kwa mume akupe wewe! Mbona majangaaa!!!
 
Kuna demu mke wa rafiki yangu ameomba niongee na mume wake kwani hawana maelewano ndani ya nyumba. Kisa jamaa alisikia mke wake alikuwa anaandikiana sms za mapenzi na mtu mwingine na walishaenda gesti pamoja.Alivyomuuliza mkewe, mke anadai zile sms ni utani tu na kule gesti ni kweli waliingia lakini hawakufanya chochote kwani alimkatalia kufanya mapenzi. Jamaa hajasema msimamo wake lakini mke anaogopa maana hata mahusiano sio mazuri. Namshaurije mume mtu? Na atamuaminije huyo mke wake kama kweli hawakufanya chochote kule gesti?

Mwambie huyo mkaka aache na huyo kicheche wa kike asiye na haya, kuna wanawake kibao wanaojiheshimu kuliko huyo zimbukuku.

Kuwa watu wanachukulia ndoa kama vile mchezo wa kuigiza. HIvi kweli kwa akili zako unaweza kuchat mambo ya kjinga na mwanaume mwingine kirahisi ukatata mwenzi wako akuelewe?

Hainiingii akilini.
 
Huyo mwanamke amemkinai mumewe, na inaelekea mume anammmaindi sana mkea wake kiasi kwamba mke amepata loop hole ya kuongea chochote anachotaka kwa mumewe na mumewe asimfanye kitu. Kuna namna......

Kama amemkinai mbona sasa kutaka aombewe samahani kwa mumewe? Mke hajiamini kabisa!
 
Mwambie huyo mkaka aache na huyo kicheche wa kike asiye na haya, kuna wanawake kibao wanaojiheshimu kuliko huyo zimbukuku.

Kuwa watu wanachukulia ndoa kama vile mchezo wa kuigiza. HIvi kweli kwa akili zako unaweza kuchat mambo ya kjinga na mwanaume mwingine kirahisi ukatata mwenzi wako akuelewe?

Hainiingii akilini.

Wewe kweli mstarini. Jeshini wanaita smart area.
 
Yani kutongozwa atongozwe yeye, raha gesti akale yeye, kisha kazi ya kuomba msamaha kwa mume akupe wewe! Mbona majangaaa!!!

Kweli majanga, ila wanawake wanatia huruma anapofikwa mpaka unashawishika kumsaidia.
 
ampge chn,huyo c dem wa kuendelea kuish nae na ictoshe atakuwa keshapulizwa tgo na hilo dume la nje.asimwamin hata kdogo na anapockilizia atalishwa limbwata...we pga chn ucwe limbuken wa kupenda ucpopendeka
 
Kuna demu mke wa rafiki yangu ameomba niongee na mume wake kwani hawana maelewano ndani ya nyumba. Kisa jamaa alisikia mke wake alikuwa anaandikiana sms za mapenzi na mtu mwingine na walishaenda gesti pamoja.Alivyomuuliza mkewe, mke anadai zile sms ni utani tu na kule gesti ni kweli waliingia lakini hawakufanya chochote kwani alimkatalia kufanya mapenzi. Jamaa hajasema msimamo wake lakini mke anaogopa maana hata mahusiano sio mazuri. Namshaurije mume mtu? Na atamuaminije huyo mke wake kama kweli hawakufanya chochote kule gesti?

Na wewe kwa maono yako unaona huyo mama,alienda gesti kununua mboga?
 
Mi nimewaza kuwa yawezekana alipofika ndani kabla ya kuvua roho ya Mungu ikamfumbua kuwa anachofanya si halali. Then akakimbia.
 
Ukweli haupo mbali na hapa "AACHE WIVU WA KIJINGA"
Huyo ni mke wake tu, mwili ni mali ya nafsi si mali ya mtu mwingine. Sasa nafsi ya huyo mwanamke kama ilimtuma kujifurahisha na mtu mwingine ya nini kumbania?

MWAMBIE AACHE WIVU WA KIJINGA!
 
Mwanamke nimemshauri na kumhoji kiundani kabisa. Anajutia lakini anasema hakufanya kitu kule gesti. Alikataa kabisa ku-do.

We unahisi kama ameliwa...mwanamke angekwambia???? Thubutuuuuuuu hata umuue, hilo hata kuambia
 
Mi nimewaza kuwa yawezekana alipofika ndani kabla ya kuvua roho ya Mungu ikamfumbua kuwa anachofanya si halali. Then akakimbia.

Ngumu kama nabii kuzaliwa Tandale kwa Mtogole....kama huyo mungu yupo hakumuona tokea jamaa anamtongoza???
 
Back
Top Bottom