Mke kuingia gesti na mwanamume asiye mume wake.

Mke kuingia gesti na mwanamume asiye mume wake.

Kwanza akubali alifanya kila kitu gesti alafu ndio mtafute suluhisho. Swala la kwamba hajafanya ni uongo na atajua mwenyewe. Huyo mwanaume kinachomuuma ni uongo wa uyo mwanamke, kwanza sms za mapenzi ni utani alafu uende nae gesti???????????? Haiji kabisa.

Imeishakuja hiyo, aipokee kamailivyo.
 
Mambo ya bushoke hayo wee guna, guna, tuu kama vipi waacheni waendelee na mambo Yao mtakuja kusutwa bureeeeeee!!
 
Ukiona manyoya.......????.....kaliwa huyoo....huyo sio wife material yani mke wa mtu unakaribisha shetani kichwani mwako........
DONT JUDGE
 
ukiona manyoya tayari kashaliwa,akubali tu matokeo amsamehe maana siku hizi hakuna wa kumwamini nahisi wanawake waliyo wengi wameamua kuwa na mahusiano nje ya ndoa, hasa kama kuna watoto ni muhimu kusamehe
 
Kuna demu mke wa rafiki yangu ameomba niongee na mume wake kwani hawana maelewano ndani ya nyumba. Kisa jamaa alisikia mke wake alikuwa anaandikiana sms za mapenzi na mtu mwingine na walishaenda gesti pamoja.Alivyomuuliza mkewe, mke anadai zile sms ni utani tu na kule gesti ni kweli waliingia lakini hawakufanya chochote kwani alimkatalia kufanya mapenzi. Jamaa hajasema msimamo wake lakini mke anaogopa maana hata mahusiano sio mazuri. Namshaurije mume mtu? Na atamuaminije huyo mke wake kama kweli hawakufanya chochote kule gesti?

huyo mwanamke ni malaya kwani ingekua utani asinge enda gest na akaingia lazima wali do labda yule msela kama sio rijali huyo msela mwenye mke mwambie kama kavcumilia skuzote basi asamehe tu
 
Huyo mwanamke ni malaya wala hapo hakuna ubishi.Hata Eva alipomruhusu shetani kuongea naye mwishowe aliishia kutenda dhambi.Hakuna tofauti na mtu kushika kaa la moto mkononi halafu huku anasema hujambo mkaa huku anaendelea kuungua.Huyo mwanamke ana pepo la ngono na ni dhambi ambayo itaendelea kumtafuna labda amkaribishe Mungu ndani yake.Hakuna mwanaume atakayekubali upuuzi kama huo.

Mke mara moja moja namwona kanisani ila kama ni malaya kiukweli sijui.
 
Mwanaume katendewa nini? Kwani huo mwili wa mke wake ana hati miliki ya huo mwili?

Willingly aliposema I DO maana yake alijikabidhi mwili wake kwa mumewe. Na mwanamume vile vile, unless ingekuwa ndoa ya wanaume wengi.
 
Watu wanaliwa kweli tena kwa ushahidi na wanaomba msamaha maisha yanaendelea. Mwambie mwanamke akiri na aombe msamaha (aonyeshe kweli kujutia). Kinachomuuma mme ni kufanywa mpumbavu kwa uongo wa kitoto. Kwanza inawezekana siyo mara ya kwanza, ni arobaini tu imefika, halafu eti sikufanya kitu kule gesti my foot.
 
aliingia gesti lakini hakufanya, hizo msg za mapenzi zilikuwa zinaeleza nini? coz msg zinakuja kureflect yale yaliyofanyika nyuma, wasiwasi
 
Mke mara moja moja namwona kanisani ila kama ni malaya kiukweli sijui.

Kanisani?.......kuna baadh ya watu wanaenda kwenye nyumba za ibada ili kukamilisha ratiba na si kupata chakula cha roho ili waponye nafsi zao.
Kwahiyo umalaya ni mtu asiye na hofu na Mungu na ikiwezekana hata kanisani ataufanya.
Mungu na atuhurumie!!!!!!
 
Du wewe kweli miss strong. No nonsense!
 
Willingly aliposema I DO maana yake alijikabidhi mwili wake kwa mumewe. Na mwanamume vile vile, unless ingekuwa ndoa ya wanaume wengi.

uko sawa, lakini kumbuka ukimchunguza sana bata, huwezi kula nyama yake. .
 
aliingia gesti lakini hakufanya, hizo msg za mapenzi zilikuwa zinaeleza nini? coz msg zinakuja kureflect yale yaliyofanyika nyuma, wasiwasi

Kwa nini aingie Guest in the first place?........................... Mimi hapo ndipo panaponimaliza nguvu. Akiri tu na kuomba msamaha
 
  • Thanks
Reactions: awp
Mwanaume katendewa nini? Kwani huo mwili wa mke wake ana hati miliki ya huo mwili?

Hujaoa hujaolewa, ukishafika huko tamka haya maneno kwa sauti kisha tafuta jibu!

Unajua maana ya ndoa takatifu? Unajua maana ya miili miwili kuungana na kuwa mwili mmoja?
 
Hujaoa hujaolewa, ukishafika huko tamka haya maneno kwa sauti kisha tafuta jibu!

Unajua maana ya ndoa takatifu? Unajua maana ya miili miwili kuungana na kuwa mwili mmoja?

Hayo ni maneno tu, kwa taarifa yako niko ndani ya ndoa kwa miaka 18 sasa,

Niliyoyaona ni mengi na ndo maana nimekomaa kwenye kushuhudia matukio kama hayo. Kumbuka kuwa mke / mme sio ndugu yako wa damu, ni jamaa yako tu wa hiari, alikozaliwa, alikokulia, alikosomea unaambiwa tu. Yawezekana ni uongo au ukweli. Yote kwa yote ni kujiaminisha tu, na imani yaweza kuwa kweli au uongo. Kwa hiyo mambo ya mwili mmoja hata wanandoa wengi wanafika hatua wanayapinga kabisa.
 
haiingi akilini ukutwe gesti ujitete hujafanya kitu mmmhh ngumu aeleze ukweli kwa mr
 
Back
Top Bottom