Mke kuingia gesti na mwanamume asiye mume wake.

Mke kuingia gesti na mwanamume asiye mume wake.

Mmmh..! Hapo huyo mwanamke akubali kosa tuu na aombe msamaha.!

Kuna kazi gani utakayoenda kufanya guest house na mtu unayehashuana nae zaidi ya kugegedana???
 
Jamani mbona Babu Seya alimla mama na bado leo baba na mama wako pamoja??? Kuingia gest tu!!! Msamehe, tafuta na wewe jinsi ya kummuadhibu huyo jamaa kama mzee alivyomuadhibu Babu Seya
 
Kwanza mke wangu atachat vp na jamaa, af ukute hlo jamaa lenyewe silifaham, thubutuuuuuu!
 
Ufisadi wa mapenzi aliuzungumzia Mtume Paulo kwenye vitabu vyake vyote. Janga kuu siyo pole pole
 
Mi nimewaza kuwa yawezekana alipofika ndani kabla ya kuvua roho ya Mungu ikamfumbua kuwa anachofanya si halali. Then akakimbia.

hapo nakataa.mwambie jamaa apige chini maana inaonekana ndiyo tabia yake maana kama ametoka kwake hadi gesti huyo mwanamke tayari alijua ni kitu gani anaenda kufanya. Ile kitu haisomi kilomita
 
We ulopewa kazi ya kuomba msamaha na we unatatizo! Kama kweli ni utani mwambie huyo alokua nae gest ndo akaongee na mume wake, kama mimi ndo mume wa huyo malaya ukija kwangu na habari hizo ujue utakula kipigo ambacho hujawahi kukisikia maishani mwako!

Me nachojua na nnachotegemea hapo huyo jamaa anajipanga na maisha bila mke na cku cku chache mbele jamaa akisha kua sawa kimawazo mke ataambiwa afungashe kila kilicho chake!
 
Kuna demu mke wa rafiki yangu ameomba niongee na mume wake kwani hawana maelewano ndani ya nyumba. Kisa jamaa alisikia mke wake alikuwa anaandikiana sms za mapenzi na mtu mwingine na walishaenda gesti pamoja.Alivyomuuliza mkewe, mke anadai zile sms ni utani tu na kule gesti ni kweli waliingia lakini hawakufanya chochote kwani alimkatalia kufanya mapenzi. Jamaa hajasema msimamo wake lakini mke anaogopa maana hata mahusiano sio mazuri. Namshaurije mume mtu? Na atamuaminije huyo mke wake kama kweli hawakufanya chochote kule gesti?

Yalaaaa! Ashaliwa huyo,,, kwanin aende gest na mwanaume asiye mmewe? Kumuamin ni ngumu sana, kama ni mazunguzo mbona sehem ni nyingi kwani had gesti? Ukiona manyoya,,,,
 
Akisamehe.. next time ataambiwa ali do lakini hakudhuminia... Kama huwezi kutulia usiji commit na watu. Kwanini watu waoga kuishi maisha yao?
 
Back
Top Bottom