Mke kufurahia anguko la Mume

Shemeji yako nimempenda bure.

Wifi yangu sijui anachelewa wapi kumfundisha adabu brother,😎
 
Ukiona hivyo kuna mahali ulishamnyanyasa na hiyo kazi. Jikague. Wako wanawake kibao tu wanaombea waume zao mabaya kwa sababu ya manyanyaso. Wengine wako kimya wanamupmba Mungu akomeshe mafanikio. Hivyo wanaume wote tujikague tena tukishapata usafiri ndiyo matatizo makubwa yanaanzia hapo. Tumesimamia ndoa nyingi na ikitokea shulida chanzo ni sisi wanaume. Sema sisi wasimamizi tunaongea kwa makini tusioneshe wanaume kuwa ndiyo wenye matatizo ili kuwapooza hao shemeji zetu.
 
Mkuu shida ilikua ni nini hadi afurahie anguko lako? Si vizuri kufurahia anguko la mtu yeyote yule ila unakuta kipindi hamkua na pesa mlikua mnaishi vizuri na kuthaminiana! Ila ulipoanza kupata vipesa ukabadilika si kama mwanzo,uko busy na michepuko huko. Anaona bora hizo pesa zisiwepo tu amani irejee kama mwanzo. Vipi Au ulikua mchoyo mkeo hafaidiki na chochote kwenye hayo mafanikio yakoπŸ€”πŸ€”.
 
Kuna wanaume makipata pesa...wanayoyafanga...unaweza omba ufukara kwenye familia..

Mimi Kuna mtu namjua Kabisa...alikua ananiambia Mimi natomba watoto wadogo Wewe mkuubwa ...Sasa nikawa najiuliza huyu ananiambia Mimi dada yake haya mambo...nifanyaje na hii information..

Mke wake alikoma Sasa...maana wanawake kila kukicha..akapata mchepuko wa kichaga..masikini Kaka yangu yule... Mwanamke yule alimpelekesha mbaya...nikulewa tu Jumatatu Hadi ijumaa...nikufungua biashara na huyo mchaga zinakufa...

Nikumbadilishia magari bidada...bidada akiona shosti anagari jipya...na yeye andai ...anaenda mpaka ofisini anatema beat kwa wafanyakazi wakike.

LOOOH...mke wake amehaha nakuhaha...saiv anakesi kabambe...mke amekaa kimya TU...Anafanya mambo yake...
Anasema wakati anahela aliyonifanyia saiv Hana akapambane na mchaga wake..

Namoumbea mambo yake yaishe salama arudi kazini.
 
ukiona mwanamke anasema hivyo ujue wewe ni mzinzi/ aka kito.mbi na anadhani fedha ndio sababu ya uzinifu wako.
 
Jamaa yako ni limbukeni wa ajabu 😁😁😁 kwa akili hizo hastahili kuwa na mke kabisa pumbavu zake.
 
Hahahah ulimbukeni unaponza sana bebeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!!

Ila kuna wanawake wengine kumzodoa mume ni kaliba yao, yani kila ufanyalo atakukejeli tu mwishowe unaamua umpuuze tu unafanya yako 😁
 
Mkiwa na vihela huwa hamshikiki, anaona bora zipungue amani upendo na humbleness inarejea
Hahahah hivi kwanini wanawake mnachukia mtu akiwa na mipunga πŸ˜‚ acheni roho mbaya jamani! Ila kila siku naskia hizi kauli eti we siku ukiwa na hela nyingi utantesa sana yani nawaza kwanini huyu mtu anasema hivi😁,,,kisha nakumbuka alichoimba baba tunda kuhusu aliwazalo mjinga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…