Mke karuhusu

Mke karuhusu

Kumbe kuna wanawake wakali ivo kumbe. Wivu ukizidi huwaga kero.
Hongera kwa kupata uhuru mdau.
 
@Usiku huu,niko kwenye matatizo,kwahiyo huwa nachungulia na kutoka tu ila nitarudi Mkuu. Nalog off
 
JF kama wameniroga vile, bila kupitia japo twice per day siku haiendi!
 
 
Last edited by a moderator:
Ana akili huyo mke wako,manake hata bible inasema kila mwanamke imempasa kumlinda mume wake.

Na asiku danganye mtu hata siku moja hamna mwanaume ambaye hajatawaliwa na mke wake,labda kama hakumpenda,lakini kama alimpenda anatawaliwa, ingawa mbele za watu atajidai sijui nini nini,yaani ndivyo ilivyo mke wako yuko sahihi.
 
Teh teh teh,
Valid statement, kweli ni Valid,
nipo tu, ila kichwa changu leo hakijatulia, so nawaangalia tu wenye jf na Uzi zao..
 
Back
Top Bottom