Mke kamuua mumewe kisa mali

kabla ya kuwa na mchepuko lazima ujitathmini,,, akili yako imekaa vizuri.........nasisitiza mchepuko lazima ukutii bila shuruti.
 
Kujiweka mbali na hawa viumbe kuna manufaa makubwa kuliko kukaa nao karibu....hasa kwenye nyakati kama hizi ambazo mali zimechukua nafasi za ubinaadamu mioyoni mwa wanadamu....


PROUDLY FIELD MARSHALL

Cc Badili Tabi
Tatizo sio mali...

Tatizo ni kuchagua.....

Mchepuko wowowte (bila kujali jinsia ni uharibifu).

Na biblia inasema kahaba ni shimo refu....sasa bahati mbaya marehemu kadumbukia kwenye shimo alilolichagua mwenyewe

Ndio maana maandiko yanasema usiache mke wa ujana wako
 
Hahahah

Poleni aisee

Heri umvumilie bi mkubwa tu
 

Kweli mpwa....na wewe uwe makini kwenye kuchagua michepuko.....
 
Ameeen ameeen....tatizo mali zikisha ongezeka hasikiagi hawa...hili fundisho tosha......bado waouliwa in direct kwa kubebeshwa ngoma
 
UNAUZAJE NYUMBA HIZO NAKUMPA HELA...HIZI NGUVU ZA GIZA ZINATUMIKA ...WANAUME SIE LOO TUNAUAWA TU HIVIHIVI NA WANAWAKE WANAOFATA MALI TU....KUSEMA YAUZWENI DALILITU YA HATARI
 
Huyo bwana ni Lofa kweli, anauza nyumba na kumpa hela mwanamke, ili iweje sasa?? Au limbwata lilimkolea?
 


Teh!, kama vile mazuri kucheka lakini mbona ni kujitakia!, as if watu wamelazimishwa kuwa na hao wa pembeni, na matokeo always yanakuwa sio mazuri unless kama mke mwenyewe ndo analeta matatizo.

Hiki kisa kinasikitisha lakini.
 
Huyo mtoto aliyeona baba anawekewa dawa, bila neema ya Mungu, hiyo chuki yake dhidi ya wanawake, sijui kama atakuja kuoa na sijui atakuwa anawatreat vipi wanawake. Itamuathiri mno kisaikolojia


Na mimi nimefikiri hivi, hiyo picha ya mtoto kuona huyo mama anaweka vitu kwenye chai halafu ina mdhuru baba sijui itakuja imtoke.
 
Teh!, kama vile mazuri kucheka lakini mbona ni kujitakia!, as if watu wamelazimishwa kuwa na hao wa pembeni, na matokeo always yanakuwa sio mazuri unless kama mke mwenyewe ndo analeta matatizo.

Hiki kisa kinasikitisha lakini.
Teh tunacheka japo inaumiza. Tukiwaambia hawaelewi
 
Reactions: kui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…