Mke kamuua mumewe kisa mali

Kuzaa mtoto kama huyo hasara. Unajua chai ina vitu na kuimwaga alishindwa nini?
Amekosa baba kijinga
Mtoto aliona, ila Kwa nafasi yake Kama mtoto hakuweza kuimwaga, akabeba jukumu la kumtahadharisha baba, baba hakuzingatia tahadhari ya mtoto...

Hapa maji yameshamwagika,hayazoleki.
 
Mtoto aliona, ila Kwa nafasi yake Kama mtoto hakuweza kuimwaga, akabeba jukumu la kumtahadharisha baba, baba hakuzingatia tahadhari ya mtoto...

Hapa maji yameshamwagika,hayazoleki.
Funzo mtoto akikwambia kitu usimpuuzeee
 

Poleni sana sana kwa msiba....!!!
 
Haya ni matokeo ya kuacha ulochuma nae juani.....

Akakimbilia mtaka vya bure

Rip....

Angalau alipata akili ya kusave hiyo nyumba moja
 
Huyo mtoto aliyeona baba anawekewa dawa, bila neema ya Mungu, hiyo chuki yake dhidi ya wanawake, sijui kama atakuja kuoa na sijui atakuwa anawatreat vipi wanawake. Itamuathiri mno kisaikolojia
Sana aisee

Anahitaji msaada wa haraka
 
Mara nyingi mke mzuri ni yule uliyeanza naye kuishi naye au kutafuta maisha.
Hiz nyumba ndogo shida sana. Huyo mwanamke ngoja akufungwe akili zije.
"Tamaa mbele mauti nyuma''
 
Waambie

Matokeo ya ku-upgrade michepuko hiyo

Mnajidanganya mnapendwa na kuacha mliookota nao kuni...
C.c Patience teh. Mahondaw atamfikishia taarifa lol. Hawaelewagi hawa hadi yawakute. Nina baba angu mkubwa alidhulumiwa hadi nyumba, na kuna siku gari imemuharibikia kasema akapumzike hapo home kidogo, mbonq aliitiwa mwizi mchana kweupe, akalala selo. Tukiwaambia watulie na wake zao aah hawaelewi

kui ukuje
 
wanaume hamjuagi tu wahara / nyumba ndogo/ michepuko haipo kwa ajili ya kupenda wengi wapo kwa ajili ya vijipesa na viali ulivyo navyo,,.. usijeangaika na nyumba ndogo sababu hakuulizi maswali kama nayokuuliza mkeo ya kukuboa ukaona ndiyo mtu , haulizi sababu hana uchungu na wewe unywe hata ufie bara hajali .. watoto wako wasisome ye hajali.. ila mijianaume mingi ndiyo hudhani kutoulizwa ndiyo upendo,,,,,,,,,,, haya lale kwa amani
 
Hivi"vibanda" ni sheedah...!
Natamani maisha ya "ZAMA ZA MAWE", maisha raha mstarehe.
Unaishi pangoni,unavaa ngozi ya mnyama au kufunika sehemu ya mbele kwa majani,nyama si gharama.Changamoto zingine nakubaliana nazo. Maisha bila stress.

Leo hii kuwa nacho ni tatizo katika kizazi hiki cha TAMAA. Angalia familia ya bilionea Msuya inavyoteketea.
 
Hahahah sio jambo la.kucheka lakini kuna mmoja huku ka pension choke kamjengea mchepuko siku ya siku katimuliwa

Hawasikii hawa.... acha yawakute tu hakuna namna
 
Hahahah sio jambo la.kucheka lakini kuna mmoja huku ka pension choke kamjengea mchepuko siku ya siku katimuliwa

Hawasikii hawa.... acha yawakute tu hakuna namna
Ha ha ha yanaumiza ila hatuna jinsi teh. Ndo tukiwaambia watusikie. Bora hawa walioachiwa maisha yao, nyumba watalala hata vibarazani teh japo presha lazima waipate, huyu mwenzao katolewa roho kabisa. Mmh ila kuna wanawake wana roho ngumu khaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…