Mke kamkimbia jamaa yangu

jamaa anampenda sana tu,hata enzi za uchumba tulipambana sana ili kum-win , alikuwa na mtu wake lakin tulitumia mbinu za kibabe sana hadi tukawachanisha tukamchukua

Hii ni uthibitisho mwingine kuonesha jamaa yako ana maamuzi ya kijinga...
 
bado laki tano,,kulikuwa na competition kuna jamaa aliletaga posa kabla yetu na alitoa donge nono,ko si tukapandilia juu zaidi na ma mkwe tukuwezesha biashara yake akatupenda sisi ndo tuwe wakwe,,,broo mamb meng tulifanya ...
Asee mlikomaa sana😂
 
Kuna wajinga huwa hawajui kuwa mwanamke anaforigi in luv halafu anatulia tuli😂
Mlifanya kosa kubwa sana. Hawa viumbe huwa wanapenda na wanataka kuolewa na mwanaume wanayempenda.
Tofauti na hapo atakusumbua sana. Kiufupi huyo mwanamke hakumpenda jamaa yako.
 
iyo ni tit for tat
 
hiyo inaitwa kata mti panda mti,tunza mazingira...
 
bado laki tano,,kulikuwa na competition kuna jamaa aliletaga posa kabla yetu na alitoa donge nono,ko si tukapandilia juu zaidi na ma mkwe tukuwezesha biashara yake akatupenda sisi ndo tuwe wakwe,,,broo mamb meng tulifanya ...

Hahaha...kila tatizo huwa dunia lina chanzo chake...huyo mwanamke mlionyesha kumpenda sana na kumyenyekea ..dunia ya leo utaumizwa sana....
 
Kheee kwl mnakua na vimchepuko vyenu pembeni
 
Japo sio wanaume wote ila vijana wetu wa siku hizi ukifuatlia mengi wanayolalamikia siku za usoni tutakosa wazee wa kushauri vijana. Kama hili tu dogo la nyama linasumbua vipi yakija makubwa. Sasa. Labda hiyo nyama tunayoambiwa hapa sio ile ya buchani ni kiambishi 😂.

Mwanamke mwenyewe goalkeeper halafu ndoa ya mkeka anaanza kusumbua hujazaa nae hata katoto. Chukua nguo zake peleka kwa wazazi uwaambie wewe hujaoa nguo. Kisha toa taarifa mahali salama ili akipata matatizo huko aishie hukohuko.

kibenten mwambie huyo rafiki yako furaha ya mtu hailetwi na vitu au mtu. Hivyo ni visababishi tu vya furaha. Atafute kisababiahi kingine cha furaha yake.

sasa mwanaume mzima miaka 30+ unamlilia mwanamke arudi tena mwanamke mwenyew hana akili na ndoa yenyew ya mkeka
 
Utoto unamsumbua huyo binti. Akikua ataacha, ila pia kumpiga mke siyo solution tena ni kitendo kibaya sana na kinaharibu mahusiano haraka sana.
 
Hapo dawa ni kuvunga, asimuulize la kheri wala la shari, akijishusha tu, huyo mwanamke akaona bila ya yeye jamaa hawezi, basi mchizi hapo imekula kwake. [emoji23]
haya,ila sidhan kama jamaa ataweza Jana tu hadi usiku ananipigia kama uyo mkewe kanitafuta
 
Duh kama mnada vile. So ng'ombe akauzwa to the highest bidder.
Sasa ubabe wote huo mnashindwaje kumlisha mtoto wa watu nyama daily kama anavyotaka?
hatukushindwa,hata akisema kuku kila siku tunaweza.
 
[emoji24][emoji24]hawez kumwacha jamaa atafanya kila namna.
 
Ndiyo matokeo yake. Unafikiri sisi wanaume pesa tunaokota mpk uache kupika kwasabb sijaleta nyama?
Ifike kipindi mridhike tu na hali zetu.
Na mitoto Yao kuishi bila baba,nadhan wanaume Kuna mahala pamebomoka Kwa kichwa.Japo ilipaswa apike mbona yoyote Kwa pesa aliyoachiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…