Mke kamkimbia jamaa yangu

Akili za tamthilia za kiphilipino
 
jamaa anampenda sana tu,hata enzi za uchumba tulipambana sana ili kum-win , alikuwa na mtu wake lakin tulitumia mbinu za kibabe sana hadi tukawachanisha tukamchukua
 
Dah kwahyo mahari jumla bei gani[emoji23][emoji23][emoji23] vitu vingine vinachekesha ndoa ya mkeka ukatoe mahari milioni 2 na bado unadaiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
bado laki tano,,kulikuwa na competition kuna jamaa aliletaga posa kabla yetu na alitoa donge nono,ko si tukapandilia juu zaidi na ma mkwe tukuwezesha biashara yake akatupenda sisi ndo tuwe wakwe,,,broo mamb meng tulifanya ...
 
Kama kaondoka basi, akaoe kwingine tu.

Ila kwa unavyofunguka hapa huyo jamaa yako ni wewe mwenyewe.

Pole mkuu,ndio maisha hayo
hapa dar hatuna ndugu yoyote ko sisi ni ndugu ko najua vitu vyake vyote na yy anajua vyangu.
 
kila kitu dem anacho,,na nmzuri haswa,rangi ya mtume na shape la kufa mtu
Basi ikiwa ndio hicho anachokipenda basi haraka sana akimbie kuomba msamaha na ampigie magoti kuwa hatarudia tena kumbughudhi hata akikuta hayupo home na atapika mwenyewe siku akikuta hajapika.

Halafu awaonyeshe ndugu zake mahali pa kumzika mapema siku akifa baada ya kujilipua au presha ikipanda na kushuka
 
daah!
 
Hapo hana mke, hata huko kwa bibi ni kisigizio tu shughuli ipo kwa michepuki au madanga
 
jamaa anampenda sana tu,hata enzi za uchumba tulipambana sana ili kum-win , alikuwa na mtu wake lakin tulitumia mbinu za kibabe sana hadi tukawachanisha tukamchukua
Hapo ndiyo mlikosea, mwanamke halazimishwi au wala haitajiki nguvu kuwa naye, kama utatumia nguvu nyingi kumuwin kuna uwezekano mkubwa akarudi alipotoka, kwa sababu ulitumia nguvu nyingi. Na inawezekana bado anawasiliana na huyo jamaa yake.
 
Hiyo pesa siwezi kutoa hata kama ni bikira.
Hapo naongeza milion 1 naenda kununua kiwanja cha milion 3. Mahari nitatoa mwisho laki 5 ila siyo vinginevyo.
Kama alioa Mnyaturu au mnyiramba imekula kwake. Hawa watu wanaoana wenyewe kwa wenyewe. Wanaviburi, dharau na wepesi kuliwa.
Mpe pole sana
uchungu wa mahari bado haujapoa tulitoa mil 2 cash na bado tunadaiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…