Mke jamani

Hizo sifa ulizotaja na huo mkoa ni vitu viwili tofauti wanawake wengi wa mbeya wanasifa kinyume na hizo wanene, wafupi, weusi labda hapo kwenye dini
 
Kwako tabia yake sio muhimu! Njoo kwangu nikuchongee kinyago cha msichana wa vigezo hivyo.
 
Mwanzoni mwa miaka ya 90 kulikuwa na kibonzo nadhani nikwenye gazeti la mfanyakazi kilikuwa kinaitwa hivyo
"Tukunyema"
hahahahahaha.....unakumbukumbu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…