Mke jamani

Jitahidi kusali makanisa ya Moravian, huko utawakuta wengi na utachagua miongoni mwao.
 
Nikujibuje Mtakatifu Ivuga? Sija-comment vile kwa nia mbaya yoyote ingawa najua miongoni mwetu wanaeza kuibua mjadala wa kidini kuanzaia hapo.

Nia yangu ni kmrahisishia ndugu aliyeanaisha thread hii.
 
mbona wewe ujajiichanganua ni nani unafanya nini? urefu ? unene? kazi yako nini? unaishi wapi?
 
Wamachame wapole mbona, yeye tu ajiandae kumpokea mke mwema

halafu soma kinyume bana lol!

Lady doctor umepigaje limsumari sema ndio hivyo nimeshakupa trick.
Wakija kukuletea noma unarusha shilingi juu wakishaikimbilia ww unasepa zako
 
Last edited by a moderator:
Nikujibuje Mtakatifu Ivuga? Sija-comment vile kwa nia mbaya yoyote ingawa najua miongoni mwetu wanaeza kuibua mjadala wa kidini kuanzaia hapo.

Nia yangu ni kmrahisishia ndugu aliyeanaisha thread hii.
Nimekuelewa wimana . Mimi nimemshauri ndugu yetu aweke picha yake hataki kuchukua ushauri wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…