Mke jamani

Aaaa nimefurai sna kwa hoja zenu,kwali hili jukwaa tunathaminiana sana,yani nimebaki nacheka na kufurai,Mungu awabariki sana wote mlio changia kwa kunishauri na mengine mengi,wamachame wanatisha eeee!"hiyonzuri tuko pamoja ndugu zangu

punguza kigezo kimoja bas hasa mkoa maana hapo unaomba shamba kariakoo
 
Mkiborena mnaachana ki JF JF dunia raha kamwe hapa huwezi kuwa na mapenzi
 
hahahahaha DEMBA umenikumbusha mbali sana. Kuna baa ilikuwa inaitwa "tukunyema"
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha DEMBA umenikumbusha mbali sana. Kuna baa ilikuwa inaitwa "tukunyema"
Mwanzoni mwa miaka ya 90 kulikuwa na kibonzo nadhani nikwenye gazeti la mfanyakazi kilikuwa kinaitwa hivyo
"Tukunyema"
 
Ingekua mke anatengenezwa kulingana na sifa unazotaka wewe basi kusingekua na mwanamke mbaya...manake hizo sifa unazo taka wewe ni nomaaa mkuu ila wapo wengi tuu.....keep on looking.
 
Aaaa nimefurai sna kwa hoja zenu,kwali hili jukwaa tunathaminiana sana,yani nimebaki nacheka na kufurai,Mungu awabariki sana wote mlio changia kwa kunishauri na mengine mengi,wamachame wanatisha eeee!"hiyonzuri tuko pamoja ndugu zangu

Nakushauri ujaribu mmachame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…