MKE: Hivi nini hasa sababu ya kuwa na mke?

...aaarrgghh,
anasema tu huyo. (kumradhi Roman Catholics 'wenzangu')
Angeruhusiwa kuoa na kuujua 'moto' wake hata yeye angeisamehe hiyo 'one way ticket' to Peponi.

mbona sijaona mnachopingana na padre? Kakubali kuwa ndoa ni mkiki na anashangaa kila leo watu wanaoana
 
...ha ha haaaha... pia sababu ya kufa mapema kwa maradhi yasiyoambukiza ila ya kujitakia kama BP, kisukari, Stroke na Heart attacks!

kabisa mzee moskwito. utaskia jamaa wanasema " amekufa bila kuumwa" , kumbe jamaa alikuwa akiona mlango wa nyumba yake tu presha linapanda na sukari linaongezeka. humu mitaani tunao maiti hai kibao . dah!
 
mbona sijaona mnachopingana na padre? Kakubali kuwa ndoa ni mkiki na anashangaa kila leo watu wanaoana

..ha ha ha ha, umeua!!!!

kabisa mzee moskwito. utaskia jamaa wanasema " amekufa bila kuumwa" , kumbe jamaa alikuwa akiona mlango wa nyumba yake tu presha linapanda na sukari linaongezeka. humu mitaani tunao maiti hai kibao . dah!

...kwakweli! maiti watembezi. ...Unakutana na mtu anafoka peke yake njiani, mapovu yanamtoka kumbe vuvuzela lishamkaa kichwani! ...'vuuuuuuu!'.... 24/7!
 
Wachangiaji hapa wanazungumzia presha kupanda pindi wakiona mlango wa nyumbani! Ina maana watu kama hawa walikuwa na matarajio ambayo hayakufikiwa baada ya ndoa?
Iweje yule uliyefunga naye pingu kwa raha zote awe chanzo cha kufupisha maisha?
 
Back
Top Bottom