Mke HIV +,Mme HIV-.wananzengo Hebu tujadili hili.

Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
24,141
56,602
Jamani wataalam wa afya,nimeletewa case hii. Mke na mme wamepima HIV. Mke positive ila mme negative.Yaani tokea waoane miaka kumi iliyopita mke alikuwaga hataki kabisa kwenda Clinic. Hivyo inamaanisha Mwanaume alikutana na huyu mwanamke. Mwanamke alikuwa tayari ni HIV +.Miaka 10 wameishi. Mwanaume hajaambukizwa. Hebu tudiscuss hili wataalam wa afya.
 
Wamepata watoto?
 
It is Possible but impossible as well. do they have kids?
Yes,4 kids .Sometimes I think may be the woman,she is using ARV and she didnt want her hubby to know. It is a complicated case.
 
Niliwahi kuhudhuria workshop moja miaka ya nyuma, mwezeshaji katuambia kwamba mtu mwenye white blood cell receptors ambazo zina "ulemavu mzuri" kwa maana ya kwamba haziwezi kupokea virusi vya HIV hawezi kuambukizwa ugonjwa huo!!

kutoka: 22D Arnold st.
NAOMBA KUJUA NI DAWA GANI?/ MBINU GANI YA KUFANYA ILI WHITE BLOOD CELL RECEPTORS ZIWE NA ULEMAVU MZURI NAMI NISIPATE HAYO MARADHI!
 
Niliwahi kuhudhuria workshop moja miaka ya nyuma, mwezeshaji katuambia kwamba mtu mwenye white blood cell receptors ambazo zina "ulemavu mzuri" kwa maana ya kwamba haziwezi kupokea virusi vya HIV hawezi kuambukizwa ugonjwa huo!!

kutoka: 22D Arnold st.
ndiom porojo zao hizi ili ku prove uongo wao wa nadharia ya HIV
 
Siku hizi hawa jamaa waliotunga hii nadharia yao ya uongo ya HIV wanazidi kuumbuka kutokana na kukua kwa technologia .hizo case zipo tangu zamani sema watu walikua hawajui kutokana na ufinyu wa kupata information.
HIV is not real its just a fiction
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom