Meljons
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 3,105
- 1,409
ha ha ha ha nimemgongea hodi nyumbani kwake naona kimya wafinyanzi tupo
hahaha ngoja mi nilale niwaache huru zaidi mwambie afungue umpe michakato
ha ha ha ha nimemgongea hodi nyumbani kwake naona kimya wafinyanzi tupo
Nina mke wa miaka mitano na kujaliwa na watoto watatu.
Tatizo la mke, hajui budget ya nyumbani, akigundua unahela atahakakisha imetumika yote bila kujali kesho, ana tabia ya kuandika uongo kwenye maitaji ili apate cha juu.
Ukimkabidhi hela ya matumizi ya nyumbani atatumia nusu na atasema hana hela.
Mbaya zaidi ukikorofishana kidogo ataongea kwa sauti zaidi ya masaa 2.
Kupata unyumba kwake mpaka yeye ndo aanze, ukiparamia utakuta ukavu ya hali ya juu na kuishia kuwa disappointed tu, cha kifupi mwanamke anapenda sana umbeya, anaongea kwa sauti kama yeye ndo baba wa nyumbani na anapenda sana kelele na ugomvi ugomvi na watu.
Ninfanyeje, nikimbia home au nivumilie.
Naomba ushauri please