Mke atanikimbiza nyumba

Mke atanikimbiza nyumba

Mbona Mkuu hayo sio makubwa, kaanae chini mueleze kua wewe na yeye nikitu kimoja na hakikisha unampa hela ya matumizi ya nyumbani na hela ya matumizi yake yeye,umbea anakua hana kazi yakufanya ukimpa kazi au ukiwa nyumbani umbea ataunza saangapi? kuhusu Papuchi muandae mapema mdekeze mkeo masaidie vijikazi vidogo vidogo kama mko ndani anza kumfanyia massage mkeo mshukuru kwakukutunzia wanao na yeye kujitunza yani yapo mengi lakini ukienda kama mwanajeshi wa JWTZ hakupi hata uki ukumbatia mbuyu kwa mikono yako miwili..............
 
Kaa nae chini zungumza nae taratibu juu ya tabia na mwendo wake akikataa tafta wazee/mshenga wako wamkanye
 
kwani kabla ya ndoa na mwanzoni mwa ndoa yenua alikuaje?
 
Daaaa mkuu pole sana! Nadhani umeingia choo cha kike!Toka fasta wenyewe wasijekukuta humo!
 
Nina mke wa miaka mitano na kujaliwa na watoto watatu.

Tatizo la mke, hajui budget ya nyumbani, akigundua unahela atahakakisha imetumika yote bila kujali kesho, ana tabia ya kuandika uongo kwenye maitaji ili apate cha juu.

Ukimkabidhi hela ya matumizi ya nyumbani atatumia nusu na atasema hana hela.

Mbaya zaidi ukikorofishana kidogo ataongea kwa sauti zaidi ya masaa 2.

Kupata unyumba kwake mpaka yeye ndo aanze, ukiparamia utakuta ukavu ya hali ya juu na kuishia kuwa disappointed tu, cha kifupi mwanamke anapenda sana umbeya, anaongea kwa sauti kama yeye ndo baba wa nyumbani na anapenda sana kelele na ugomvi ugomvi na watu.

Ninfanyeje, nikimbia home au nivumilie.

Naomba ushauri please
ni heri kukosea kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa
 
Hukuyajua hayo tangu enzi za upenzi/ uchumba?????
 
Back
Top Bottom