Dr Mushi
Member
- Sep 1, 2016
- 70
- 40
Jamani wanaume ukiwa unamsomesha girlfriend wako ujue umekubali ,potea pata, na hiyo sio agano wala haikupi haki ya kuoa huyo binti, hayo ni makubaliano na wengi wanaangukia mtego huo kwa kuzidiwa ujanja na mwanamke kwa sa babu anataka msaada. USHAURI.Kama huna roho ya chuma, chonde chonde usijesomesha binti wa mtu eti utakuja kumuoa utakuja kulia chooni!